WCB kwa hili la kuidharau BASATA, hamtabaki salama

WCB kwa hili la kuidharau BASATA, hamtabaki salama

Nilisikia wimbo wa kiba uliachiwa.. au sikuelewa
 
Zamani wakati tunakimbia mchakamchaka shule ya msingi kulikuwa kuna nyimbo kwa ajili ya zoezi hilo. Mfano: wasichana wanapenda mbo mboga za majani, wavulana wanapenda ku kumaliza shule. Nadhani hicho kituo cha basi na hizi nyimbo pia zifungiwe.
 
Watulie sheria ishapita na hakuna kusamehe manyimbo haya yangekuwa kabla ya kutoka wapitishe basata kwanza kabla ya kuziachia nyimbo nyingi ukisikia anaimba dai au anaweka vionjo ni matusi tu hiyo yote ni malezi ya tandale..
Maadili yasimame mtupe burudabi na sio kutujarubia wanetu... watoto wa mondi wako S.A. hivyo watz wakimasikin wakibaribika hilo yeye halijui ...
 
Hawa wapotezwe kabisa
akili yako ndogo sana,angeanza kumalizwa mzee wako kwa kufungua kile chuo cha secretarial courses illegal na ambacho hakikuwa na viwango wala vigezo those days of 2000s
 
Uku chuoni wanafunzi wanaimba nyege nyege nyegeze na kwenye simu tunao kila MTU nyege nyege nyegezi.
 
Hahahaaaa kumbe wewe na unapujua bhana karbu sana mwanza mwanza Mimi ni mshamba Wa ilemela
Hahah pande hizo tutakuja Diamond,Villa sijui kuna vijiwe gani vipya pande hizo boss?
 
Najiulizaga yule Diamond aliyekuwa na mashairi ya nyimbo za kistaarabu kaenda wapi?
 
Back
Top Bottom