akili yako ndogo sana,angeanza kumalizwa mzee wako kwa kufungua kile chuo cha secretarial courses illegal na ambacho hakikuwa na viwango wala vigezo those days of 2000sHawa wapotezwe kabisa
Hahahaaaa kumbe wewe na unapujua bhana karbu sana mwanza mwanza Mimi ni mshamba Wa ilemelaWasalimiane hapo Kumalija,Passion hotel,Kilimanjaro hotel teh
Hahah pande hizo tutakuja Diamond,Villa sijui kuna vijiwe gani vipya pande hizo boss?Hahahaaaa kumbe wewe na unapujua bhana karbu sana mwanza mwanza Mimi ni mshamba Wa ilemela
Yupo Canada anatoa shows akimaliza atakuja Tanzania kuweka sawa kuhusu wimbo wa nyege nyege nyegezi.Najiulizaga yule Diamond aliyekuwa na mashairi ya nyimbo za kistaarabu kaenda wapi?
Mbona Morogoro mnafupisha? Je Dar? Au tunasahau haya mambo vifupisho vipo tena sana tuzungumzie maudhui sio vfupishoMANENO kuntu walahi
Nakazia hii point wanatumbuliwa muda si mrefuBASATA SOON WANATUMBULIWA WATU PALE.
MARK MY WORDS.