WCB kwanini wanamtenga sana Richmavoko?

[emoji15] [emoji15] [emoji15] Diamond huyo
 
WCB huishi kama familia Moja Maneno yenu hayana nafasi kwao
Wao hujaliii zaidi kazi kuliko majungu yenu

Ukimuona mavoko Wa leo sio WA miaka ya nyuma passport yake imechafuka kwa kupanda ndege

Wcb hupeana mda WA kutoa nyimbo kwa wasanii wake

Na ratiba hio haimbebi mtu wote wapo Sawa

Majungu yenu hayaezi sambaratisha wcb zaidi inazidi kuitanua

Leo ceo WA wcb diamond platunum yupo Rwanda akijaribu kuitangaza wcb kibiashara zaidi
 
Hapendi kiki ndo mana haambatani na wapenda kiki,anajielewa,yupo kikazi zaidi
 
Unajua mavoko ana umuhimu na nafasi gani pale wasafi?.....endelea kuamini kuwa anatengwa kumbe ndo anapendwa kuliko hao uliowataja.
.
.
Kifupi jamaa anaishi maisha yake anayoyapenda na sio kwa kick na showoff za kijinga.
 
Rich mavoko kashindwa hata na Kisandu akaunti yake insta in hiko kitik
 
Wamemtenga kivipi..? kuwa verified..? hio tick ya blue hata wewe ukihitaji nione utaipata
 
Namkubali sana Rich mavoko.... Anakila sifa ya kuwa msanii... jamaa haishi kwa kiki... mziki wake ndio unamuweka hewani tofauti na wana wcb wengine... He's real Gentlemen.....kama wizkid
Kweli kbsa..tena hamna msanii mwenye maadili kama rich mavoko..kwa sabb angekua msanii mwengine na jinsi alivyokua na jina before wangeshaga zinguana kimaslahi mda sana..me nadhani huyu mtoa mada ni mnafki tu..rich sio mtu wa starehe kama harmo na wengine..yule ana future..
 
Future yake ni ipi hebu iseme
 
Mimi naamini mavocco ana msaada mkubwa pale WCB kuliko unavodhani.
Hebu jaribu kuangalia studio session za wasanii wa WCB utaamini ninachokisema
 
Rip mavo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…