WCB kweli mmefikia hii hatua????

WCB kweli mmefikia hii hatua????

We ni mwanaume ? Kwaiyo we ungeshikwa tako ungesusa kupga show sio?

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Dai anashikwa tako na midume katulia tu aisee bhanaume tumebaki bhachache sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mnaweza mkawa mmebaki wachache wenye wivu nae. Yule ni msanii yuko jukwaani halafu kinatokea kile utaanza kuwapa mangumi mashabiki? Tayari umetafsiri kwamba ni gasho? Wabongo bwana wivu mwingine mtu mpotezee tu kama unaona wivu kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utajuaje kama dhamira yao ni kushika tako?

Huenda walitaka mshika tuu msanii wao kwa kumfurahia bahati mbaya mkono ukaishia huko

Nilichogundua wengi wapingaji wa ushoga kwa waswahili ndio wafanya ushoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnatetea ujinga wanaofanya hao mtu anashikwa sehemu nyeti katulia kabisa, huu ni upuuzi
 
Back
Top Bottom