Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Shida iko wapi? Yule ni msanii,lazima ujue situation mahala husika. Elewa utofauti wa mtu anaempelekea kwa makusudi tako mtu amshike,yule alikuwa stejini,kazi nyingine tofauti na hiyo uliyoichagua wewe ya kushikwa tako. Hicho kitendo kilitokea stejini. Ulitaka aache show aanze kumpa mangumi shabiki sio? Vijana bwana. Nyie ndio hamuwezi kuzizuia hasira hata kwa jambo dogo tu la kupita,halafu ukamaliza salama jambo uliloendea
Sent using Jamii Forums mobile app