WCB kweli mmefikia hii hatua????

WCB kweli mmefikia hii hatua????

Ungekua we umeshikwa tako ungefurahia kama dai alivofanya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida iko wapi? Yule ni msanii,lazima ujue situation mahala husika. Elewa utofauti wa mtu anaempelekea kwa makusudi tako mtu amshike,yule alikuwa stejini,kazi nyingine tofauti na hiyo uliyoichagua wewe ya kushikwa tako. Hicho kitendo kilitokea stejini. Ulitaka aache show aanze kumpa mangumi shabiki sio? Vijana bwana. Nyie ndio hamuwezi kuzizuia hasira hata kwa jambo dogo tu la kupita,halafu ukamaliza salama jambo uliloendea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukienda insta au you tube utaiona video,kaiangalie vizuri kisha uje ubishe fresh. Pale aliwasogelea sana mashabiki kitu ambacho ni hatari kwa usalama wake. Msanii anayejiamin kwa show matata hawezi jitafutia kiki kwa namna ile.

Ok madam... let's me check first. Lakini bado naona kuna haja ya kujua yule ni msanii,kuna mahala anaweza akakosea katika harakati za kuwafurahisha mashabiki,kwa hiyo lazima kutofautisha kati ya kukusudia kutenda au kitendo kisichofurahisha kilimfuata wakati yuko kwenye kitendo kingine chema tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na kwamba ni msanii anatakiwa kuwa makini,kuna vitendo vingine havistahili,kuna video niliiona insta kuna msanii alikua kavaa bukta nyekundu(inasemekana ni lavalava)anaimba karibu kabisa na walipo mashabiki,wadada waliokua karibu na aliposimama wakawa wanamshika mapumb# Bila kusahau ndizi yenyewe halafu mwenyewe ni kama alikua anafurahia hicho kitendo,just imagine kama mtu ana nia mbaya si wangeweza ivuta na kumpa ulemavu wa kudumu.

Cna uhakika kama ww ni Me au ke.ila kma ni Me na unaona hicho kitendo hapo ni cha kawaida ujue hauko Sawa au ushabik umekuzidia kiac kwamba unaona mond hakosei alaf mond "pesa zisije zikakufanya ukawa mtumwa kiac hicho"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale mlokole anapoanzsha Thread

R!'^/_:Rr[b.+f}[8D?|
 
Nani?? Diamond kashikwa tako?

Au nimedandia treni kwa mbele.
 
Bwah! Bwah! Bwah! Bwah!!!

Kazi mnayo....
 
Usanii nao mgumu yaani unakata viuno mbele ya wanaume wenzako,halafu sasa unawageuzia tako,..then njemba zinatomasa tako lako!!aiseee huu ni utani wa kumtania jiwe..

Yaani mi unishike tako???..dah huyo shabiki angekula ndosi hiyo asinge sahau maisha yake yote,utanishikaje tako wewe( in tin white's voice)
 
Washikwa matako wenzake wanamtetea. Ushabiki bhana!
 
Walichokifanya WCB huko Nairobi was Nothing but a crap.

Wametuabisha sana ukweni
 
Pamoja na kwamba ni msanii anatakiwa kuwa makini,kuna vitendo vingine havistahili,kuna video niliiona insta kuna msanii alikua kavaa bukta nyekundu(inasemekana ni lavalava)anaimba karibu kabisa na walipo mashabiki,wadada waliokua karibu na aliposimama wakawa wanamshika mapumb# Bila kusahau ndizi yenyewe halafu mwenyewe ni kama alikua anafurahia hicho kitendo,just imagine kama mtu ana nia mbaya si wangeweza ivuta na kumpa ulemavu wa kudumu.
Hawa diehard fans wa chibu hawawezi kuelewa hadi siku moja mtu wao avutwe nje ya jukwaa.
 
Walianza kwa kuvaa hereni,kisha kusuka nywele,halafu kuvaa vikuku,na sasa kushikwa makalio jukwaani!!

Hii ni aibu kubwa aisee! haileti picha nzuri hata kidogo,mimi siko team yeyote ile,napenda kusikiliza nyimbo za Diamond,pia napenda nyimbo za Ali kiba,ila hiki kitendo si cha kiungwana na hatakiwi kukirudia tena.
 
Nishawazoea hao na Ile ya kudondoka sumbawanga kama sio kiki iliyopangwa basi walikua wamelewa maana jinsi walivyokua wanaruka ruka sio kawaida ya nyimbo zao,ile sio raggae kuruka vile

Back
Top Bottom