Afu bado kuna wanaume wana support dai kushikwa tako[emoji3]Dai anashikwa tako na midume katulia tu aisee bhanaume tumebaki bhachache sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekua we umeshikwa tako ungefurahia kama dai alivofanya?We ni mwanaume ? Kwaiyo we ungeshikwa tako ungesusa kupga show sio?
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Na we ni mmoja wa wanaofurahia kushikwa tako kama dai?Vipi ulitaka ushikwe wewe!?.. Hao ni entertainers na walikuwa stejini kwenye jumuiya yenye akili tofauti zaidi ya mia!.
Mkuu unahis dai alitakiwa kuchukua hatua gani soon baada ya kushikwa tako na shabik
Washikwa tako mbona mmepanic
Angeacha vile alikua anacheza lakini yeye baada ya kushikwa tako akaendlea kuwatingishia zaidiMkuu unahis dai alitakiwa kuchukua hatua gani soon baada ya kushikwa tako na shabik
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Kweli mnaweza mkawa mmebaki wachache wenye wivu nae. Yule ni msanii yuko jukwaani halafu kinatokea kile utaanza kuwapa mangumi mashabiki? Tayari umetafsiri kwamba ni gasho? Wabongo bwana wivu mwingine mtu mpotezee tu kama unaona wivu kwakeDai anashikwa tako na midume katulia tu aisee bhanaume tumebaki bhachache sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kashikwa chumbani!?... Unatafuta Mob justice!?