WCB - majina mengne ni uswahili kha.

Kodi mmelipa? Au mnajua kubwabwaja tu simba ye kesha lipa milion35 lipeni kodiiiiiiiiTRA inaanza kuwafata door to door wasanii wajanja janja wote lipeni kodii
 
Hata kama umeenda brela na kukuta majina yote yana wenyewe lakini hili jina ni la kiswahili cjapata kuona

"Wasafi classic baby" jamani hivi hata uchaguzi wa jina pia unahtaji elimu kumbee.
Mbona wewe unajiita chacha2016 hakuna aliesema neno,usitake kupanga maisha ya watu kama vile ulivyopanga ratiba ya kumpiga ngumi mkeo
 
Chacha2016 cyo business brand....sasa ww unasain business docs kwa jina la wasafi classic babeee[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ngoja kwanza ncheke nkimaliza ntarud tena.
 
Uswahili? Kwani aliyekwambia wale jamaa ni wachina nani?
Hata kama cyo wachina ila hlo cyo bzness brand ni mapenz brand sa cjui jamaa ako alikuw kisimini akakurupuka hlo jna
 
Chacha2016 cyo business brand....sasa ww unasain business docs kwa jina la wasafi classic babeee[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ngoja kwanza ncheke nkimaliza ntarud tena.
WCB hata kama kwako inachefua(though hata mimi haijanikalia sawa)lakini wenyewe ndio brand inayouza vumilia tu kama ni shabiki wao na vaa tu tshirt za WCB
 
Hahaaaaaaa haya mkuu maana hamna namna hatuwez vaa i lov nyuu yoki
 
Chacha2016 cyo business brand....sasa ww unasain business docs kwa jina la wasafi classic babeee[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ngoja kwanza ncheke nkimaliza ntarud tena.
Cheka hadi ujambe,wenzako wananunua majumba na kusaini dili ndefu kama za voda kwa jina hilo hilo
 
Hata kama umeenda brela na kukuta majina yote yana wenyewe lakini hili jina ni la kiswahili cjapata kuona

"Wasafi classic baby" jamani hivi hata uchaguzi wa jina pia unahtaji elimu kumbee.
Haijakaa SAWA Sana nadhani hakujua kama brand ingekuja kuwa kubwa ya kimataifa.. EBU toa mifano hata 4 ya majina ya ukweli angetumia
 
Wasafi..liko vzur
Classc..liko vzur

Tatzo hili jingne "baby" ndo kichef chef

Ndo mana huwa haandk jina lote utaona tu WCB- wasafi, cz anajua ni jina lisilo leta mantik
 
Ni kweli jina la kitoto ila ndilo wanalopigia hela, so hakuna kinachoharibika
 
1956 vijana 6 walianzisha bendi huko Leopoldville, walikuwa wanapiga bar iliyoitwa Oscar Kashama bar. Walipokuwa wanabishana jina la kuipa bendi mwenye bar akashauri wachukue jina la bar ile (Oscar ndie mwenye bar)-wakaita bendi yao OK JAZZ the rest is history. Hiyo ndio TP OK JAZZ ya FRANCO.
 
Hata kama umeenda brela na kukuta majina yote yana wenyewe lakini hili jina ni la kiswahili cjapata kuona

"Wasafi classic baby" jamani hivi hata uchaguzi wa jina pia unahtaji elimu kumbee.
Hivi hizi team zitaisha lini jaman??!!Mana haihitaji degree kujua wew ni team Kiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…