Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kunywa maji mwanangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina la kijinga kama unavyodai kaweza kuligeuza kuwa brand kubwa kuliko majina mazuri ya makampuni mengi.Tubuni kitu gani akati mnaweka majina yakijinga et beibee[emoji2]
mkuu naona leo umeamua kuwaharibia siku ona wanavyotoka mapovu... Ukimdiss boss wao ni kama umeawshika mat*ko hao hawasikii la kuambiwaHata kama umeenda brela na kukuta majina yote yana wenyewe lakini hili jina ni la kiswahili cjapata kuona
"Wasafi classic baby" jamani hivi hata uchaguzi wa jina pia unahtaji elimu kumbee.
Angalau ingekuwa wasafi classic boysHata kama umeenda brela na kukuta majina yote yana wenyewe lakini hili jina ni la kiswahili cjapata kuona
"Wasafi classic baby" jamani hivi hata uchaguzi wa jina pia unahtaji elimu kumbee.