WCB - majina mengne ni uswahili kha.

Tubuni kitu gani akati mnaweka majina yakijinga et beibee[emoji2]
Jina la kijinga kama unavyodai kaweza kuligeuza kuwa brand kubwa kuliko majina mazuri ya makampuni mengi.
Now it is worth hundered millions of tshs.
Unajua that swosh logo ya nike ceo wa nike alipoonyeshwa na mwanafunzi wake aliyempa tenda ya kuitengeneza, hakuipenda aliona amemtengenezea kitu cha ajabu lakini akaamua kuichukua tu, look at it now.. it is worth billions of dollars.
Its not all about how good is the name, what matters can you change that name into a million dollar brand?
 
Hata kama umeenda brela na kukuta majina yote yana wenyewe lakini hili jina ni la kiswahili cjapata kuona

"Wasafi classic baby" jamani hivi hata uchaguzi wa jina pia unahtaji elimu kumbee.
mkuu naona leo umeamua kuwaharibia siku ona wanavyotoka mapovu... Ukimdiss boss wao ni kama umeawshika mat*ko hao hawasikii la kuambiwa
 
Unafanya wapi kazi!??wasafi classic baibe!!yekheeeee ujinga mtu..!!
 
Hata kama umeenda brela na kukuta majina yote yana wenyewe lakini hili jina ni la kiswahili cjapata kuona

"Wasafi classic baby" jamani hivi hata uchaguzi wa jina pia unahtaji elimu kumbee.
Angalau ingekuwa wasafi classic boys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…