WCB mchukueni msanii Masauti wa Kenya mtanishukuru baadae

Hapana mzee Nina mke sina demu Nina mke
Ni kwa manufaa mazuri tu wala sio nia mbaya huenda lava akapata sehemu nzuri zaid ya hapo
pancho boy Mbona jamaa anafanya poa Sana na anatengeneza hit nyingi mf ngoma kama niuwe,go Gaga,sexy mama habibi,Wanga wabaya n.k Ni nyimbo nzuri sana anajua kuandika na show anapata nyingi sana sema shida yako unataka awe level moja sawa na Rayvanny, mbosso na Zuchu kwenye mziki Hakuna kitu Kama hicho Ni sawa Giroud kulazimisha awe sawa na Thierry Henry.
 
Henry= Giroud????? Really???
 
Napata sana mashaka wewe ni innocent dependent...
 
Wewe umewahi kuiyona mikataba ya Wasafi?
Sihitaji kuiona kujua kinachoendelea.

Nyimbo zote alizorekodi Mavoko akiwa Wasafi ikiwemo YouTube channel siyo mali yake.

Hao kina Rayvanny, Mbosso, Zuchu wote njia ile ile, ni kama wako Jela. Maana hata majina siyo yao.

Nguvu zoote na ubunifu wanaoweka kwenye maisha yao mwisho wa siku siyo mali yao.
 
Wewe ujui masuala ya mikataba kwenye mziki hizi YouTube zimefunguliwa na management ya Wasafi na kweli Ni Mali yao lakini inakuwa ya kwako paka pale unapomaliza mkataba wako na label na hii haipo tu Wasafi pekee ipo wide especially kwenye mziki lakini kwanini uangalii pia uwekezaji wanaotumia label kufanya hao wasanii wawe maarufu na marketable?
 
Mfano huyo Rayvanny au Mbosso wakiondoka hapo Wasafi, wanaondoka na nini ?

Na muziki ni kazi ya ubunifu na hisia, siyo ya kudumu.

Unakaa kwenye Label unatumikaaaa, mwishowe yanakukyta ya Saida Karoli auWasanii wa Twanga Pepeta kina Ali Choki.

Maana hao wasanii wa WCB hawana hata mashabiki.
 
Mkuu acha uwongo..masauti ana miaka mingi tu kwenye game...mi namfahamu kitambo...nenda youtube anagalia wimbo USIKATE TAMAA-MASAUTI

pia kuna interviews/documentaries zake humo..
 
Wakiondoka wanaondoka na umaarufu na pia watakuwa wamepata fedha huyo Rayvanny kachukuliwa na label hata baiskeli Hana alafu kaishia form iv na kwenye taaratibu za label Kuna kuwa mgawo wa mapato kiasi fulani kinaenda kwako kingine kwa label yenyewe kulingana na makubaliano umliyoweka
 
Innocent dependent got u bro
 
Umaarufu Tanzania hauleti hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…