WCB mchukueni msanii Masauti wa Kenya mtanishukuru baadae

Sio umaarufu hauleti hela sema wasanii wenu hawatumii umaarufu wao kupiga pesa mbona shilole ana mgahawa wake anaotumia umaarufu wake kupiga pesa.
Shilole kapata pesa kupitia Fiesta baada kuwa chawa wa Ruge kwa muda mrefu.

Huko mgawahani anawekeza tu
 
Na huo mgahawa unamlipa sana hela zipo SEMA baadhi ya wasanii Ni wazembe.Tukija kuhusu uchawa wa ruge kwani shilole alikuwa anafanya show za fiesta pekee? Shilole amefanya show za kampuni mbalimbali na shows za nje pia Ni mmoja Kati ya wasanii ambaye Ni ambassador wa makampuni mengi
 
Show za nje zipi mazee ?

Ile ya kwenye Grocery ubelgiji ?
 
Masauti ni mzuri, anasound kibongo kwa asilimia zaidi ya 80. Ngoma zake zinafanya vizuri hata kwenye clubs
 
Vipi kuhusu mario toto bad akichukuliwa WCB[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Masauti ni mzuri, anasound kibongo kwa asilimia zaidi ya 80. Ngoma zake zinafanya vizuri hata kwenye clubs
Bado kuna watu watakubishia sana jamaa anajua sana huyo utadhani mbongo
 
Back
Top Bottom