MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Shilole kapata pesa kupitia Fiesta baada kuwa chawa wa Ruge kwa muda mrefu.Sio umaarufu hauleti hela sema wasanii wenu hawatumii umaarufu wao kupiga pesa mbona shilole ana mgahawa wake anaotumia umaarufu wake kupiga pesa.
Huko mgawahani anawekeza tu