ruby anasifiwa sana ila hauziki sokoni kimataifa,,,, na huko ndio kuna hela nyingi ambazo WCB wanazivuna
mziki anaoufanya ruby ndio walifanya kina lady jaydee, k lyn, na wengineo wengi.. prof jay , juma nature Tanzania walionekana hawana mpinzani ila nje ya nchi hawakuuzika kabisa..
mziki ambao unafika mbali ni ule wa WCB.. yaani wimbo unatoka unaeleweka unachezwa vipi.. mfano tetema.. style ya kucheza mabega imeubeba sana wimbo kufika mbali.
WCB wasanii wanarekodi wimbo.. kabla haujatoka kuna watu wameajiriwa kina mose iyobo, baajuni, zungu etc kazi yao ni kubuni style ya kucheza huo wimbo.. so wanabuni style ndio inatoka na wimbo... watu wanapenda kucheza sana.. wimbo una hit
Ruby hauziki kabisa.. mi namkubali sana sauti yake.. ila kibiashara hafai
mfano ngololo ngololo ukipigwa mtoto wa mwanza atacheza sawa sawa na mtoto wa mbeya , mtu wa zanzibar atacheza sawa sawa na mtu wa kenya.
ikipigwa sankoro hivyo hivyo.. ikipigwa salome hivyo hivyo.. huo ndio mziki biashara
NYIMBO ZA RUBY HAZICHEZEKI HAZINA SOKO