Ni kawaida hata kuna muda diamond uwa anaaxhia nyimbo tatu kwa pamoja.Naona mwisho wa Mwaka ndani ya Mwezi mmoja WCB wanaachia pini juu ya pini zaidi ya Nne ambayo sio kawaida.
Lavalava ft Diamond
Rayvanny ft Diamond
Baba Levo ft Diamond
Diamond ft Koffi Olomide
Zuchu & Rayvanny
Hizo tatu za mwanzo kama wanamshambuliana "Kibonge ila Kwenye Muziki Bado Sanaa.."
Sio kawaida yao kutoa nyimbo kwa wingi hivi uwa wanaachiana Airtime. Au ndio wanataka piga show za Mwisho wa Mwaka vizuri?
Wameshachoka hao vijanaNaona mwisho wa Mwaka ndani ya Mwezi mmoja WCB wanaachia pini juu ya pini zaidi ya Nne ambayo sio kawaida.
Lavalava ft Diamond
Rayvanny ft Diamond
Baba Levo ft Diamond
Diamond ft Koffi Olomide
Zuchu & Rayvanny
Hizo tatu za mwanzo kama wanamshambuliana "Kibonge ila Kwenye Muziki Bado Sanaa.."
Sio kawaida yao kutoa nyimbo kwa wingi hivi uwa wanaachiana Airtime. Au ndio wanataka piga show za Mwisho wa Mwaka vizuri?
Nyimbo hapo nimoja tu Lavalava ft DiamondNaona mwisho wa Mwaka ndani ya Mwezi mmoja WCB wanaachia pini juu ya pini zaidi ya Nne ambayo sio kawaida.