WCB naona Nyimbo juu ya Nyimbo, Kuna nini?

Kwahiyo YouTube views ndio ubora wa wimbo ?

Ninyi majamaa sijui mmerogwa, kizazi cha kipumbavu kweli.
 
Kwahiyo YouTube views ndio ubora wa wimbo ?

Ninyi majamaa sijui mmerogwa, kizazi cha kipumbavu kweli.
Sasa maswala ya kutukanana yametoka wap tena boss ?? , ubora wa nyimbo unapimwa vip Kwa upande wako ?? , istoshe nan kapima ubora wa nyimbo hapa au ni mtazamo wa trending za mashabiki kwenye digital platform inayofanya vizur zaidi ukanda huu notably youtube....itoshe kusema we ndo mpumbavu Mkubwa na aliyekuzaa ana hasara
 
Narudia tena wewe ni mpumbavu.
 
Wanawahi wasijeanza kulipia kodi viewers kule YOUTUBE
 
Ni kawaida mwisho wa mwaka wasanii wengi huachia nyimbo, halafu mwezi wa kwanza kunakuwaga na nyimbo mpya chache sana, ni timing tu ya biashara
 
Eti mjomba Mchumari 😂😂😂
Diamond namgawa bure aisee, dah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…