zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
- Thread starter
-
- #41
Waafrika hatupendani that's why mtu akitoa video ikafanana na ya flani Ana rise na Ku claim copyright mangapi tuna copy kwa wazungu Ila hawajawahi claimIpo day shida mtaiona wakuu. Lets wait and see
Clouds ndo entertainment ilipo anzia wasafi n watoto wa clouds
Waafrika hatupendani that's why mtu akitoa video ikafanana na ya flani Ana rise na Ku claim copyright mangapi tuna copy kwa wazungu Ila hawajawahi claim
[emoji23][emoji23]ila mimi ningekuwa msanii nahisi ningekuwa napiga hela for instance nikishoot video yangu Serengeti na wewe ukishoot Serengeti na claim copyright..Huu utetezi wa kindezi. Misukule bana.
Akicopy mwingine povu mtakaloyoa humu sio la nchi hii.
Msanii wenu kazidi hana cha kusema waafrika hatupendani,tunapendana ila hatupendi kuambiwa ukweli ndo maana tumebaki tegemezi wa wazungu.
kwanini hizi label wabongo hawazipi sapoti kama wanayoitoa kwa wacb????1.Kings Music(Alikiba)
2.Konde Music Worldwide (Harmonize)
3.African Princess(Nandy)
Ninachokisifu wcb ni kuwa na uwezo wa kuwashika vijana kama wewe kuifanyia promo bila malipo
Aseeh kwahiyo alikiba management yake ni clouds ?Mbona wameshindwa kumfikisha Kiba walipo WCB licha ya kumpa support muda wote? Ifike mahala juhudi binafsi za mtu zikubalike.Na bado wanatumia nguvu kubwa sana kumshusha Mond Ila ndo hivyo wameshachelewa,juzi kimetoka hicho kijinyimbo Mediocre wamekipamba, wakamfanyia interview Kiba kumdhihaki Mond,bado unasema Wasafi ni mtoto wa Clouds ๐๐๐๐
Takataka kabisaa.Imetoa msanii gani akawa level ya kufanya vizuri Africa?
Hujaon akimpost kusaga na caption anayoandikaLeta hoja siyo habar za mondi mwenyewe anajua ulishakaa nae akakuambia hivyo? Au una assume
Ni zaidi ya record label kumbe hujui uliza wajuvi clouds sio media tu
๐๐๐๐๐
Aseeh kwahiyo alikiba management yake ni clouds ?
Clouds sio management yake ndo maana hawahusiki kupromo mziki wake.
Tatizo unataka wao walambe miguu ya mondi hata kama wanapata hasara..huo ni ujinga..
Yaani mnadhani mondi ni mungu asiongelewe
Ni akili yako ndo ilivyokutuma clouds wana managementHakuna aliyesema Mond ni Mungu,acha kupanick๐.Kama wewe unaelewa unachokiandika humu,unawezaje kusema Clouds hawahusiki kupromo mziki wa kiba๐ค?
Hakuna sehemu ambapo nimesema clouds ni management ya Kiba, Ila nimeshangazwa na kukataa kwako,swala la Kiba kupewa promo na clouds.Ni akili yako ndo ilivyokutuma clouds wana management
Lakini haimaanishi wanamsimamia kiba hayo sijui umeyatoa wapi?
Wana wasanii wao sio kiba kwahiyo ni akili yako imekutuma uelewe unavyojua we we
Hahahhaaa
Hahaahh mbona sasa hapa wewe ndo umekataa ulichokikubali?Hakuna sehemu ambapo nimesema clouds ni management ya Kiba, Ila nimeshangazwa na kukataa kwako,swala la Kiba kupewa promo na clouds.
Hao wasanii wengine wamefika wap au ni diamond pekee ndio walimpa promo sanaHujaon akimpost kusaga na caption anayoandika
Oooh, nimegundua huna chochote unachokijua kwenye tasinia ya mziki,huenda hujui hata maana ya promo kwenye mziki,hujui uhusiano uliopo kati ya Kiba na clouds.Nimeamua kukupuuza rasimi. innocent dependent njoo ujaribu na wewe ๐๐๐๐Hahaahh mbona sasa hapa wewe ndo umekataa ulichokikubali?
Alikiba ameenda hapo clouds kama wasanii wengine kutambulisha ngoma
Alikiba ana management yake inahusika na promo na wala sio clouds au kurudia rudia wimbo ndo kumpa promo?
Zamani sana sio sasaClouds inachonga Barabara hao wanapita tu
Zuchu licha yakuwa na umri mdogo ktk game lakini ni mkubwa sana kwasasa,huwezi kulinganisha na Linah,recho,lulu diva,shilole nkHivi zuchu ni msanii mkubwa?