BOMBAY
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 4,732
- 3,508
Hebu acha kujivua nguo hadharani kwakuonyesha jinsi ulivyomtupu kichwani!Acha kujitoa ufaham kwa makusudi.Naomba niishie hapo.Aseeh kwahiyo alikiba management yake ni clouds ?
Clouds sio management yake ndo maana hawahusiki kupromo mziki wake.
Tatizo unataka wao walambe miguu ya mondi hata kama wanapata hasara..huo ni ujinga..
Yaani mnadhani mondi ni mungu asiongelewe