WCB ndio imeshikilia Bongo Fleva kwa sasa, very creative label

WCB ndio imeshikilia Bongo Fleva kwa sasa, very creative label

Aseeh kwahiyo alikiba management yake ni clouds ?
Clouds sio management yake ndo maana hawahusiki kupromo mziki wake.
Tatizo unataka wao walambe miguu ya mondi hata kama wanapata hasara..huo ni ujinga..

Yaani mnadhani mondi ni mungu asiongelewe
Hebu acha kujivua nguo hadharani kwakuonyesha jinsi ulivyomtupu kichwani!Acha kujitoa ufaham kwa makusudi.Naomba niishie hapo.
 
Takataka kabisaa.
Yaani wewe uchawa unakuharibu.
Wao clouds unawaona hata diamond mwenyewe ni matunda yao..yaani zao lao
Nafkiri unaijua THT na unajua imetoa vipaji vingapi.! Sasa ile ni zao lao..achilia mbali mondi mwenyewe.

Wao ilikuwa media inayohusika kusogeza muziki watu wausikie na hata social media hazikuwepo kwa watanzania wengi wa kipato cha kati.na chini.

Unajua hata juma nature ana tuzo ya MTV mama? Na tena alipata enzi hizo hakuna social media kama sasa access imekuwa rahisi mnoo mpka Huyo zuchu anajulikana hapo Nigeria..!

Utawaambia nini watu?
Lazima muwape heshima yao kwani wamecheza kwenye nafasi yao kama wcb wanavyofanya kwa sasa..

Nimemaliza bwana juma lokole
Taja msanii chini ya THT aliefika level za kimataifa.Full stop
 
Hahaahh mbona sasa hapa wewe ndo umekataa ulichokikubali?
Alikiba ameenda hapo clouds kama wasanii wengine kutambulisha ngoma

Alikiba ana management yake inahusika na promo na wala sio clouds au kurudia rudia wimbo ndo kumpa promo?
Huna unalolijua kuhusu clouds
 
Hebu acha kujivua nguo hadharani kwakuonyesha jinsi ulivyomtupu kichwani!Acha kujitoa ufaham kwa makusudi.Naomba niishie hapo.
Dogo unadhani Mimi ni chawa kama wewe
Hebu basi elezea unalojua maana naona umekazana kuwa sisi hatujui we ndo unajua
 
Zuchu licha yakuwa na umri mdogo ktk game lakini ni mkubwa sana kwasasa,huwezi kulinganisha na Linah,recho,lulu diva,shilole nk
Kwa saivi hata Mimi nikiamua kuwa msanii ni fasta kuna access sasa social media zinarahisisha.

Huyo zuchu labda ni msanii mkubwa kwenu
 
Oooh, nimegundua huna chochote unachokijua kwenye tasinia ya mziki,huenda hujui hata maana ya promo kwenye mziki,hujui uhusiano uliopo kati ya Kiba na clouds.Nimeamua kukupuuza rasimi. innocent dependent njoo ujaribu na wewe 😂😂😂😂
Hahahhahaah naona umekimbia bro huleti chochote kinachoitwa fact Ku prove maneno yako ..

Sasa unadhani ukimuita chawa mwenzio inno atasema nini?
Kweli siku hizi wanaume tumebaki wachache mwanaume unanikimbia mwanaume mwenzako ..kisa tu nimekubana mbavu kidogo..

Hahahahahah innocent dependent eti wewe ndo mbabe wake?
 
Naomba kuuliza Swali:

Kwa hivyo tumewaafikiana kwamba miaka 5 ya kwanza ya bwana magufuki , maisha ya wananchi hayajaboreshwa?

Kwani alivyoomba Kura 2015, si alisema maisha ya wananchi yataboreshwa na tutakuwa Ulaya?

Kama kashindwa awamu ya kwanza, kwanini apewe awamu ya pili?

Usipoteze kura yako kwa walioonesha kushindwa, mpe kura yako RAIS MTEULE TUNDU LISSU
Sasa kama umeshamuita RAIS MTEULE TUNDU LISSU, unataka tumpe Kura za Nini tena🤔?
 
Kwa saivi hata Mimi nikiamua kuwa msanii ni fasta kuna access sasa social media zinarahisisha.

Huyo zuchu labda ni msanii mkubwa kwenu
😂😂😂😂 We unadhani Hawa waliopo walioshindwa kutoboa,hawazioni hizo social medias? We unachukulia life simple Sana eeeh?
 
😂😂😂😂 We unadhani Hawa waliopo walioshindwa kutoboa,hawazioni hizo social medias? We unachukulia life simple Sana eeeh?
Hapana pia sijawadharau wasafi nao wana mchango wao kwenye game ya sasa.
Tatizo lipo kwako ulipoanzia kuwanyima value yao clouds kwani wameplay part yao kubwa mpk sasa
 
Namba Sita namuona Zuchu na Diamond wakituwakilisha kimataifa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20200929_165103.jpg

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hata mwalimu anapofundisha darasani sio wote watapata sawa
Hizo ni jitihada binafsi, clouds media kupitia tawi lake THT walikikataa kipaji Cha diamond enzi hizo. Hivyo ni vyema ukakubali tu bwana mdogo juhudu binafsi ndizo zilizomfikisha pale alipo.
 
Hizo ni jitihada binafsi, clouds media kupitia tawi lake THT walikikataa kipaji Cha diamond enzi hizo. Hivyo ni vyema ukakubali tu bwana mdogo juhudu binafsi ndizo zilizomfikisha pale alipo.
Juhudi binafsi ndo hua znamfanya mwanafunz afaulu ila bila mwalim ni hakuna kitu
Hizo ni jitihada binafsi, clouds media kupitia tawi lake THT walikikataa kipaji Cha diamond enzi hizo. Hivyo ni vyema ukakubali tu bwana mdogo juhudu binafsi ndizo zilizomfikisha pale alipo.
Juhudi binafsi ndo hua zinafanya mwanafunzi afaulu nothing else

Back
Top Bottom