fatmanuria
JF-Expert Member
- Aug 26, 2017
- 440
- 701
Unaongelea ile kwaya ndeeeeefu?Wanaotapatapa ni waleee walioungana dhidi ya mtu mmoja
Ndio unisaidie kushangaa na wewe, na bado wimbo ule ni kwaya ya watu sijui 7!!!! Mtu mmoja hapo anatoka wapi? Ama kweli mfa maji.......huyu naye mzushi tu, huyo mond anamashabaki kibao, tukianza na mashabaki wake mwenyewe,
mashabiki wa Zari wa ug na tz,
mashabiki wa moze iyobo na baby mama ake,
mashabiki wa bashite,
mashabiki wa le mutuz,
mashabiki wa harmo + mzungu wake,
mashabiki wa babu tale,
mashabiki wa sallam,
mashabiki wa rey van,
hapo sijaweka wa richmavoko, bi sandra, esma n.k n.k.
hilo jeshi la mtu mmoja kweli?
Unahitaja nguvu ya kuelewa kuna shabiki na limbukeni kuhusu hizi timu hasa yule mange kazidi post zake minenguoI
Ina maana baada ya kiba kutoa nyimbo ndio wcb wakaingia studio wakarekod then wakashoot video wakaitoa kwa cku hyo hyo
Acha Bangi mawigi hayajawahi kumuacha mtu salama he heee Eti zilipendwa mkome kukurupuka Kiba kawanyoosha mnataka msikike nyie tu mmeumbuka Endeleeni kucopyKwanza diamond hana mashabiki bali ana wanachama.kupitia kwa diamond ndio maana kina lavalava,rayyvan,harmonize wana mashabiki lukuki na ndio maana endapo utataja top20 ya wasanii bora huwez kuacha kuwataja na wasanii wa wcb hvyo diamond ni jeshi la mtu mmoja lililoweza kuwapa nguvu anao washika mikono
Kiba anapata sapoti kutoka kwa mashabiki wake,mashabiki wa wema wa joketi wa mange na mashabik wa dimpoz na sasa wameongezeka mashabiki wa hamisa
Pamoja na kiba kusapotiwa na kundi kubwa la watu kwenye mitandao ila diamond anapambana peke ake yaan n jeshi la mtu mmoja na ana wapeleka puta maadui zake
HAKIKA DIAMOND SIO WA MCHEZO MCHEZO