WCB ni jeshi la mtu mmoja na alikiba ni muungano wa timu zipatazo 5

Hana akili huyoooo,kwa hyo harmknizekarud toka Nigeria

Mashabiki wa kiba na team zao zote bado wanakaaa kwa SIMBA
Wana makelele mengi mtandaoni ila mtaani kila mtu ni dai ndo maana ana uwezo wa kujaza stadium tena katika nchi yoyote Afrika.wimbo umetoka usiku lakini kila mtu hadi watoto
 
Utakua team wema weweee lakini WOTE ndo TEAM VIPUSA TU
Sina timu ila na thamini kila msanii anachokifanya awe diamond au kiba,Ila mtu anapoongea pumba kwa ushabiki na mambo mengine yapo wazi ni kumchana tu mubashara kama mtoa siredi! Hahahahaha
 
Wimbo anatoa mda wowote wanaotaka wao,wanauwezo wa kutoa wimbo kwa kila saa kwa muda wa siku 365 na nyengine zikabaki stoo
labda waimbe a e i o u...katoa tatu zimebuma katoa eneka,nakukumbuka,fire afu jiiiiiiii kuskia seduce me katoa tena na next few days anatoa na patoranking bt ataburuzwa na seduce me mwaka mzima hahahahaaaaaaaaa.....KIIIIIING KIBAAAAAA uwe na huruma dogo anawaza had domo linaongezeka ukubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana akili huyoooo,kwa hyo harmknizekarud toka Nigeria

Mashabiki wa kiba na team zao zote bado wanakaaa kwa SIMBA
hakuna simba anayebana pua chungen kauli, simba haonekani hovyo na Sumba anajiheshimu na simba dume ni afande sele tu labda muwe wazi kwamba huyu wa madale ni jike na bwanake yupo misufini Morogoro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninewaambia wengi sana,na wengine walikua wakinijia na POVU nawauliza,we ni team kiba,WEMA,JOKATE, HAMISA, nuh MZIWANDA au naniiii??? LAKINI WOTE NI TEAM VIPUSA TU ZA KIKEKIKE TU
hivi umuweke kiba hapa na domo pale KE nani na ME nani?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , domo kuanzia anavyojiweka had tabia ni KE mwaa mwii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond angekua wa kawaida angeshapotea siku nyingi.pamoja na kiba kupata msaada wa mashabiki wa watu wasio mpenda mond lakini mond bado anaunguruma tu
Hata mashabiki si hamumpendi kiba..tatizo liko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…