WCB ni jeshi la mtu mmoja na alikiba ni muungano wa timu zipatazo 5

WCB ni jeshi la mtu mmoja na alikiba ni muungano wa timu zipatazo 5

Waganga mmeanza kujiganga acheni mziki uongee makelele waachieni wapiga debe.
 
Kwanza diamond hana mashabiki bali ana wanachama.kupitia kwa diamond ndio maana kina lavalava,rayyvan,harmonize wana mashabiki lukuki na ndio maana endapo utataja top20 ya wasanii bora huwez kuacha kuwataja na wasanii wa wcb hvyo diamond ni jeshi la mtu mmoja lililoweza kuwapa nguvu anao washika mikono

Kiba anapata sapoti kutoka kwa mashabiki wake,mashabiki wa wema wa joketi wa mange na mashabik wa dimpoz na sasa wameongezeka mashabiki wa hamisa

Pamoja na kiba kusapotiwa na kundi kubwa la watu kwenye mitandao ila diamond anapambana peke ake yaan n jeshi la mtu mmoja na ana wapeleka puta maadui zake

HAKIKA DIAMOND SIO WA MCHEZO MCHEZO
Niambie unauhakika kiasi gani na unachokiiongea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo mda unaoshabikia hzo team ungefanya mambo yako

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom