WCB ni jeshi la mtu mmoja na alikiba ni muungano wa timu zipatazo 5

d73b001a9c79d2cfa17dafb2f97e09cc.jpg

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
 
Kwanza diamond hana mashabiki bali ana wanachama.kupitia kwa diamond ndio maana kina lavalava,rayyvan,harmonize wana mashabiki lukuki na ndio maana endapo utataja top20 ya wasanii bora huwez kuacha kuwataja na wasanii wa wcb hvyo diamond ni jeshi la mtu mmoja lililoweza kuwapa nguvu anao washika mikono

Kiba anapata sapoti kutoka kwa mashabiki wake,mashabiki wa wema wa joketi wa mange na mashabik wa dimpoz na sasa wameongezeka mashabiki wa hamisa

Pamoja na kiba kusapotiwa na kundi kubwa la watu kwenye mitandao ila diamond anapambana peke ake yaan n jeshi la mtu mmoja na ana wapeleka puta maadui zake

HAKIKA DIAMOND SIO WA MCHEZO MCHEZO
Wcb mnajitekena na kucheka wenyew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we umekunywa nini leo??ulichokiandika kisome tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rekodi imevunjwaaaaaaaa 1M viewers in less 48 hours
 
vyovyote iwavyo kawafanya wapingane na ratiba yao hahahaaaa wamepanic wametoa kabla kisa king hahahaaaaa yy na watoto wake

vyovyote iwavyo kawafanya wapingane na ratiba yao hahahaaaa wamepanic wametoa kabla kisa king hahahaaaaa yy na watoto wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyimbo zimejaa hvyo hakuna jinsi ni lazma zipunguzwe siyo kama yule anayejiita king wimbo mmoja anautunga mwaka mzima
 
Kwanza diamond hana mashabiki bali ana wanachama.kupitia kwa diamond ndio maana kina lavalava,rayyvan,harmonize wana mashabiki lukuki na ndio maana endapo utataja top20 ya wasanii bora huwez kuacha kuwataja na wasanii wa wcb hvyo diamond ni jeshi la mtu mmoja lililoweza kuwapa nguvu anao washika mikono

Kiba anapata sapoti kutoka kwa mashabiki wake,mashabiki wa wema wa joketi wa mange na mashabik wa dimpoz na sasa wameongezeka mashabiki wa hamisa

Pamoja na kiba kusapotiwa na kundi kubwa la watu kwenye mitandao ila diamond anapambana peke ake yaan n jeshi la mtu mmoja na ana wapeleka puta maadui zake

HAKIKA DIAMOND SIO WA MCHEZO MCHEZO
Hahaaaah naona mme panick...mlikuja kwa mbwembwe sahivi mnatafuta visingizio...sasa kati ya seduce me na zilipendwa ipi ni ya jeshi la mtu mmoja
 
Back
Top Bottom