Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaweza ndio, kwa sababu nyimbo ni za kucopyWimbo anatoa mda wowote wanaotaka wao,wanauwezo wa kutoa wimbo kwa kila saa kwa muda wa siku 365 na nyengine zikabaki stoo
Ndio ukweli wenyewe huo dai yupo peke ake na mashabik zake huyo mwengine kapata msaada baada ya maadui wa dai kuunganaHivyo ndivyo akili yako inavyokwambia au unalazimisha kujiaminisha hizo hoja zako??
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana!!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] pambana na hali yako!Diamond angekua wa kawaida angeshapotea siku nyingi.pamoja na kiba kupata msaada wa mashabiki wa watu wasio mpenda mond lakini mond bado anaunguruma tu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] I can see u coffee table!!!!Wanafikiria ni jinsi gani watamshusha dai kuliko hata wanavyomfikiria mungu lakini ndo hvyo tena aliyepewa kapewa
Kwa taarifa yako kiba ndio ana mashabiki wake lakini wema ana mashabik wake ambao baada ya kuachwa na dai wakaona hasira zao ni kuwa kumshabikia yoyote anayeshindana na dai na hapo wakajiunga na timu kiba,mange nae hampendi dai hvyo watu wanao mkubali mange wanamsapoti kiba vivo hvyo kwa kina joket sijui hamisa mara dimpozSababu umepanic hujielewi ngoja nikufahamishe ...
Mashabiki wa Alikiba ndo hao hao wa Wema , Jokate, Hamisa na Mange .Pia mashabiki wa Diamond ndo hao hao wa rayvanny ,richmavoko,Queen d, lavalava, harmonize na Bashite....Kwahiyo bado team zipo 2 zilezile ila zinamatawi tu kulingana na upepo unapovumia
Ivi ni yupi anawapenda washabiki wake? Kati ya kiba na mondi?Kwanza diamond hana mashabiki bali ana wanachama.kupitia kwa diamond ndio maana kina lavalava,rayyvan,harmonize wana mashabiki lukuki na ndio maana endapo utataja top20 ya wasanii bora huwez kuacha kuwataja na wasanii wa wcb hvyo diamond ni jeshi la mtu mmoja lililoweza kuwapa nguvu anao washika mikono
Kiba anapata sapoti kutoka kwa mashabiki wake,mashabiki wa wema wa joketi wa mange na mashabik wa dimpoz na sasa wameongezeka mashabiki wa hamisa
Pamoja na kiba kusapotiwa na kundi kubwa la watu kwenye mitandao ila diamond anapambana peke ake yaan n jeshi la mtu mmoja na ana wapeleka puta maadui zake
HAKIKA DIAMOND SIO WA MCHEZO MCHEZO
Hivi hawajaona boc wawo(Diamond) kampost wema wote kimya. Alafu cjawahi kumuona seven mosha kutuma ujinga kama wa sallam sk. Nja mbaya[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] I can see u coffee table!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba uzitaje izo team 5Hayo yote ni kweli kabisa diamond ana pambana na timu tano ambazo sasa zimejiunga
Angekua hajiamini asingetoa wimbo ila kwa vile ana jiamini ndio maana anaweza kufanya lolote kwa wakati wowote hata kama amezungukwa na maaduiPeleka upupu wenu hukoo malkia wenu kaanzisha varangati kumbe anasubiri king atoe wimbo naye atoe wa kwao kisa et ushindanishwe huyo hajiamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo raha ya kusoma [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] seven si mswahili!!yaani wamepanick!!Hivi hawajaona boc wawo(Diamond) kampost wema wote kimya. Alafu cjawahi kumuona seven mosha kutuma ujinga kama wa sallam sk. Nja mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafaidika vipi kama kijana kupitia haya?Kwanza diamond hana mashabiki bali ana wanachama.kupitia kwa diamond ndio maana kina lavalava,rayyvan,harmonize wana mashabiki lukuki na ndio maana endapo utataja top20 ya wasanii bora huwez kuacha kuwataja na wasanii wa wcb hvyo diamond ni jeshi la mtu mmoja lililoweza kuwapa nguvu anao washika mikono
Kiba anapata sapoti kutoka kwa mashabiki wake,mashabiki wa wema wa joketi wa mange na mashabik wa dimpoz na sasa wameongezeka mashabiki wa hamisa
Pamoja na kiba kusapotiwa na kundi kubwa la watu kwenye mitandao ila diamond anapambana peke ake yaan n jeshi la mtu mmoja na ana wapeleka puta maadui zake
HAKIKA DIAMOND SIO WA MCHEZO MCHEZO