WCB punguzeni kukopi na kupesti

WCB punguzeni kukopi na kupesti

Kopy na pesti zipo mingi sana

Ila wapo vzuri kwenye hiyo sekta

Na wengine wakopi sasa mbona bure tu
 
Wewe ni lazima ni moja ya crew ya WCB ..
Umewezaje ona hili..!??
 
Kunae huyo msanii anaitwa Raymond apo wcb hata dangote ajipange maana anafanyiwa nae melody na Raymond
sikio halizidi kichwa mkuu,ila raymond yupo vizur sn huyu dogo...harmonize inabdi kujipanga sn vengnevo huyu wakuitwa rayvanny atamkalisha japo inaonekana mondi anamkubali sn harmonize...harmo asipojiangalia upepo utamgeukia!
ila hawa vijana nimewaelewa sana kwenye hii ngoma yao iliyovuja ya "penzi",japo beat wamesample ya mdogomdogo bt wameitendea haki haswaa.
 
hakuna mtu mwenye idea ya peke yake, ingekuwa haipaswi kuigana basi mpaka leo ungekuwa unatembea uchi au kuvaa migomba. Jaribuni kukubali uzuri wa vitu bila kuleta ufukunyuku.
 
Back
Top Bottom