WCB This is Too Much

WCB This is Too Much

Kuna sehem anaimba"inama niweke muhogo" kwakwel hawa jamaa wanaharibu sana watoto wa shule.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na vitoto hapa mtaani kwetu nmepita sasa hivi vinaimba bila wasiwasi, tena vinafanya kwa vitendo kwa kuinamishana, bahat mbaya vyote ni vya kiume[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
 
Wanajua mmbongo hafikirii zaidi ya hilo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Lazima ufanye kazi yako kulingana na mazingira!

Mfanyabiashara mwenye akili timamu anaangalia mahitaji ya jamii yake.
Hivyo wewe muanzisha thread utabaki kuwa kikasuku kilichosahau majukumu yake
 
[emoji28][emoji28]
Screenshot_2019-03-22-12-15-20-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila wimbo mnaotoa kwa sasa mnasifu tendo la ndoa, bora hata mngekuwa mnaimba issues zingine za mapenzi hapo sawa. Yani hata huu wimbo mpya wa dada yetu Queendarleen ni mrengo uleule, tena kaamua kuupa jina la direct kabisa, MUHOGO.

Kidogo Harmonize anajitahidi kugusa nyanja mbalimbali za mapenzi, lkn wengine wote mmebweteka hamuwezi hata kutumia tafsida.

Soon watu watawachoka sababu hamna jipya kwenye tunzi zenu, shame on you.
Wafungiwe Tu
Ni dharau kubwa kwa maadili
 
Nakushauri usilize nyimbo za Bob Marley, na ukipata ile kitu ya kupandusha hisia, lazima upandishe mori.
 
Na ninavyopenda deki, (pamela)
Ulimi shingo mpk kwa mgongo,
Katoto katamtam,
Kanapendaga pipi na chewing gum,
Kimoko na cum cum....


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kila wimbo mnaotoa kwa sasa mnasifu tendo la ndoa, bora hata mngekuwa mnaimba issues zingine za mapenzi hapo sawa. Yani hata huu wimbo mpya wa dada yetu Queendarleen ni mrengo uleule, tena kaamua kuupa jina la direct kabisa, MUHOGO.

Kidogo Harmonize anajitahidi kugusa nyanja mbalimbali za mapenzi, lkn wengine wote mmebweteka hamuwezi hata kutumia tafsida.

Soon watu watawachoka sababu hamna jipya kwenye tunzi zenu, shame on you.
Hii ina akisi kitu wanachokiwaza muda mwingi. Na ukiangalia mwenendo wa bosi wao kwenye eneo hilo usitegemee mabadiliko ya hivi karibuni wa mwelekeo wa nyimbo zao.
 
Wanafanya mziki biashara, yani ili wapate pesa tuu,washaona wabongo wanapenda ngono, kile ni kikundi cha waburudshaji lakini hamna msanii pale, labda kdogo harmonize


waburtdsxanhWrite your reply...
 
Jana niko kwenye dala dal kuna wanafunzi pia..mara ukaanza kupigwa wimbo nadhani ni wa Maromboso..ilibidi nione aibu mimi hayo matusi na vitoto vinafuatisha kuimba...kuna kipindi ilibidi nilalamike kwa shule moja, gari lao linalochukua watoto wetu asubuhi dereva anakuja kuwabeba watoto anapiga wimbo Nyegezi....jioni yake nasikia kitoto changu miaka minne..kinaimba Nyegezi haaaaa!
 
mhogo sikuhizi umekua tusi?
Elungata, muhogo kama muhogo sio tuzi ila inakuwa tusi kwa namna maneno yaliyotumika kuueleza huo muhogo kwenye huo wimbo..kuna matusi mengine yakitambukwa katika maeneo fulani halionekani kuwa tusi..mfano neno mshenzi kwa kawaida neno hili ni tusi..lakini mara nyingi tu watu wa soka wamelitumia kusifia uwezo wa wachezaji wao...so hoja hapa ni namna gani neno linatumika...ndio linaleta ukakasi
 
Msanii mwenye elimu zaidi pale WCB ni la 7B so wanatunga nyimbo kutokana na uwepo wa akili zao unapoishia.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom