Na vitoto hapa mtaani kwetu nmepita sasa hivi vinaimba bila wasiwasi, tena vinafanya kwa vitendo kwa kuinamishana, bahat mbaya vyote ni vya kiume[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]Kuna sehem anaimba"inama niweke muhogo" kwakwel hawa jamaa wanaharibu sana watoto wa shule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafungiwe TuKila wimbo mnaotoa kwa sasa mnasifu tendo la ndoa, bora hata mngekuwa mnaimba issues zingine za mapenzi hapo sawa. Yani hata huu wimbo mpya wa dada yetu Queendarleen ni mrengo uleule, tena kaamua kuupa jina la direct kabisa, MUHOGO.
Kidogo Harmonize anajitahidi kugusa nyanja mbalimbali za mapenzi, lkn wengine wote mmebweteka hamuwezi hata kutumia tafsida.
Soon watu watawachoka sababu hamna jipya kwenye tunzi zenu, shame on you.
Very stupid commentMziki ni bzness kama mchele ndio unalipa na faida ya kutosha ndio na soko lake ni uwakika nikuendelea nao tu.
Eti ukakomae na mahindi wakati hayana soko la uwakika huo ni ukichaa kiongozi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hii ina akisi kitu wanachokiwaza muda mwingi. Na ukiangalia mwenendo wa bosi wao kwenye eneo hilo usitegemee mabadiliko ya hivi karibuni wa mwelekeo wa nyimbo zao.Kila wimbo mnaotoa kwa sasa mnasifu tendo la ndoa, bora hata mngekuwa mnaimba issues zingine za mapenzi hapo sawa. Yani hata huu wimbo mpya wa dada yetu Queendarleen ni mrengo uleule, tena kaamua kuupa jina la direct kabisa, MUHOGO.
Kidogo Harmonize anajitahidi kugusa nyanja mbalimbali za mapenzi, lkn wengine wote mmebweteka hamuwezi hata kutumia tafsida.
Soon watu watawachoka sababu hamna jipya kwenye tunzi zenu, shame on you.
Elungata, muhogo kama muhogo sio tuzi ila inakuwa tusi kwa namna maneno yaliyotumika kuueleza huo muhogo kwenye huo wimbo..kuna matusi mengine yakitambukwa katika maeneo fulani halionekani kuwa tusi..mfano neno mshenzi kwa kawaida neno hili ni tusi..lakini mara nyingi tu watu wa soka wamelitumia kusifia uwezo wa wachezaji wao...so hoja hapa ni namna gani neno linatumika...ndio linaleta ukakasimhogo sikuhizi umekua tusi?
mhogo sikuhizi umekua tusi?
Stupid fish
Trust me, watafingiwa kama hawatabadilika