WCB Upcoming Events!

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Huyu Diamond huyu sidhani kama ana dalili ya kushuka,
simuongelei kiushabiki ila trust me, I wish mngepata nafasi ya kuusikiliza wimbo wake mpya aliorecord na Patoranking ebhana usipime!
Yani huu wimbo ni mkali zaidi ya NANA Aisee,

Halafu kuna wimbo mwingine amepiga colabo kwamara nyengine tena na MR flavour, nayo ni jiwe hatari sana(ila hauufikii alioimba na Pantoranking)
Hizo ni International, Tukija kwenye local ndo kabisaa manake kuna jiwe limeimbwa humo ndani kuna Diamond na Msodoki aisee hii nayo itakuwa homa ya jiji,

Tukija kwenye wasanii watakaosainiwa hivi karibuni tujiandae kumpokea Maromboso rasmi pamoja na wimbo wake mpyaaaa! Zipo nyimbo nyingi nzuri ambazo zipo stock na kila wimbo unamshinda mwenzake kwahiyo wale waliokuwa wanasubiria kushuka kwa bwana Naseeb basi bora mtafute kazi zingine za kufanya,

N.B: Source ya habari ni mimi mwenyewe na nimeziona na kuzisikia live!
 
Huyu jamaa anajua sana kuzitumia pesa za Utube asee.Ni fursa ya aina yake kwa wasaniii wa kitanzania.Ndio maana wasanii wanatoa nyimbo mfululizo yote ni kupatq mpunga utube
 
Nikajua nyimbo ziko hewani kumbe hadithi.

Hadithi hadithi, hadithi njoo, uongo njoo tam kolea.

Basi ngoja tuendelee kusubiria hiyo future present participal tense of the current event in the momentum in the half life of nuclei.
 
usijifanye mzee wa ma-exclusive kionjo cha hiyo nyimbo kimeshawekwa kwenye mitandao na hizo nyingine amezijadili kila mtu anafahamu.

Kila laheri kwake.
 
Hata hizi nyimbo 3 zilizotoka kwa mpigo hapo nyuma mlituambia hivi hivi mwisho wa siku mkakosa pa kuziweka sura zenu.

Na kama huo wimbo alioimba na Patoranking unaushindanisha na Nana basi humo hakuna kitu labda ungesema ni mzuri kuliko Number One Remix hapo ningekusikiliza.
 
Kuna watu roho zinawauma Kwa kutokutaka kuukubali ukweli mchungu diamond anafembea kwenye sayari yake pekeyake.
 

Do these fit to be upcoming events or upcoming releases?
 
Bado hamonize anavaa zile band kichwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi sitaki washuke nataka wawe juu,na aly kiba awe juu ,tuwe na wasaniii wengii wa kimataifa sio mmoja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…