STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Huyu Diamond huyu sidhani kama ana dalili ya kushuka,
simuongelei kiushabiki ila trust me, I wish mngepata nafasi ya kuusikiliza wimbo wake mpya aliorecord na Patoranking ebhana usipime!
Yani huu wimbo ni mkali zaidi ya NANA Aisee,
Halafu kuna wimbo mwingine amepiga colabo kwamara nyengine tena na MR flavour, nayo ni jiwe hatari sana(ila hauufikii alioimba na Pantoranking)
Hizo ni International, Tukija kwenye local ndo kabisaa manake kuna jiwe limeimbwa humo ndani kuna Diamond na Msodoki aisee hii nayo itakuwa homa ya jiji,
Tukija kwenye wasanii watakaosainiwa hivi karibuni tujiandae kumpokea Maromboso rasmi pamoja na wimbo wake mpyaaaa! Zipo nyimbo nyingi nzuri ambazo zipo stock na kila wimbo unamshinda mwenzake kwahiyo wale waliokuwa wanasubiria kushuka kwa bwana Naseeb basi bora mtafute kazi zingine za kufanya,
N.B: Source ya habari ni mimi mwenyewe na nimeziona na kuzisikia live!