Nyabhakangala
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 841
- 793
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka mwambie Kiba kuwa sasa yupo 40, mwakani atakuwa 41 atoke kabisa kwenye kundi letu LA vijana.usijifanye mzee wa ma-exclusive kionjo cha hiyo nyimbo kimeshawekwa kwenye mitandao na hizo nyingine amezijadili kila mtu anafahamu.
Kila laheri kwake.
Kaka mwambie Kiba kuwa sasa yupo 40, mwakani atakuwa 41 atoke kabisa kwenye kundi letu LA vijana.
Me mzima jaman Ahahah hawezi kuja na jina lake halisi humuNakusalimia tu Mammy Yeiyoo! Kama ni Mondi angekuja na jina lake halisi, yule si ni celeb ama?
Ally Kiba hawezi kua juu.Mi sitaki washuke nataka wawe juu,na aly kiba awe juu ,tuwe na wasaniii wengii wa kimataifa sio mmoja tu
Basi wewe utakuwa juu