WCB vs THT

Huyo Msanii Wenu Na Mameneja Wake Wana matatizo na Media nyingi tu, hata Kabla hawajawa na hiyo Media yao..

THT ni Kama Chuo, Mkuu Wao hana Noma na Media Zingine

WCB ni Label, Mkuu Wao na Mameneja wake ndo Wenye Matatizo..
Sawa Beki 3 wa kingKiba Huwa tunaamin Sana Habari zako!!! Vp Yebaba kashaingia studio hapo au bado!??
 

Mkuu, tatizo liko kwenye hiyo scenario uliyotengeneza, WCB Vs THT. Hiyo haihusiani na kuchezwa au kutokuchezwa kwa kazi za wasanii kwenye vituo husika.

Sababu za kupiga au kutopiga kazi hazihusiani na kussuport au kutosupport WCB wala THT.

Kikubwa ni hitilafu binafsi baina ya wana muziki au wasimamizi wao na vituo husika, kama wachangiaji wanavyotupa wanachokijua.
 
Huyo Msanii Wenu Na Mameneja Wake Wana matatizo na Media nyingi tu, hata Kabla hawajawa na hiyo Media yao..

THT ni Kama Chuo, Mkuu Wao hana Noma na Media Zingine

WCB ni Label, Mkuu Wao na Mameneja wake ndo Wenye Matatizo..
Mkuu so hot inaendeleaje,?
Viewers
Trend no ngapi
 
Ni issues za kibiashara mkuu.
Katika biashara ni kawaida kutokea migingano mbalimbali so hayo ni baadhi ya matokeo ya migongano hiyo

Mi huwa nasubiri ngoma iingie youtube ili niipakue.
 
EATV sababu ya tuzo uchwara za kutuma barua kama unachumbia
Clouds sababu walitaka kitonga kisa promo
Tve papuchi ya single maza Hamisa
Safi kabisa , short and clear ,
 
Mkuu so hot inaendeleaje,?
Viewers
Trend no ngapi
Iko Mukide,

Sisi hatupimi mziki mzuri kwa Views na Trending Hivyo ni vipimo vya mashabiki Uchwara

Mziki Mzuri na wa Kibiashara unapimwa kwa ku-Stream, uko ndo kuna Pesa na Wasanii wakubwa wote wamewekeza huko..

hakuna msanii mkubwa anaeangaika na Views na trending Youtube
 
Mimi nadhani ni kwa sababu wasanii wa wcb wana promotion yao binafsi inayowatosheleza kwa hiyo inakuwa haina maana kuzicheza nyimbo zao. Na ndio maana kama unafuatilia vizuri uwepo wa wasafi media umeua kwa kiasi fulani suala la label na wasafi records, nikimaanisha kuwa kila msanii wa wcb ana management ya wasafi inayojitegemea.
 
Ko Wasafi wanaitangaza clouds.....? Coz wanapiga nyimbo za wasanii wa THT
sioni kwamba kupiga nyimbo za WCB ni kuitangaza Wasafi media
 
TvE tatizo K
Mawingu ganda la ndizi wanapenda kuteleza
EAT vituzo mavi
Ni basi tu binaadam tunachuki na roho za korosho
 
ndio hivyo mkuu.Diamond Ana influence kubwa kuliko hizo media kwa sasa ndio maana licha ya hizo media kubwa kutopiga kazi zake ndo kwanza anazidi kupanda.
Sio kwamba ana influence kubwa. Hii nchi ya Tz ina utitiri wa fm radios ambazo zina muda mwingi wa kucheza muziki kuliko matangazo ya vipindi tofauti. So, hao Clouds, EA Radio na E fm, ni sawa tu na tone moja la maji kwenye ile ndogo kubwa ya maji. Ni kama 3 kati ya 100.
 
Mzee asikatae diamond ana influence kubwa Sana ndomaana wasanii walikuwa ngoma zao hazipigwi kwenye hizo redio sasa hiv wakufa kimziki lakini kwa mond anazidi kudunda tu
JAYJAY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…