Sijachukulia serious ila nmekujibu kulingana na comment yako. Kaa kwa kutulia, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]relax then kunywa maji upumzike, usichukulie serious sana mambo ya huku ndani
sawa madam akeSijachukulia serious ila nmekujibu kulingana na comment yako. Kaa kwa kutulia, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema jingineNyimbo ya diamond imeshindwa kufikisha views milion1 ndani ya Massa 24/siku1,ambapo nyimbo ya dodo alikiba ilifikisha views milion1 ndani ya Massa 24 tu!!
Mkuu wewe kasikilize yule msanii wako anaeimba l go die mara 34 kwa wimbo mmoja.Ya kawaida sanaa, nyimbo ya kiwango cha chini,
Kupenda kubaya sana yaani mnaona kabisa hili chongo we unasema kengeza
BubbleGum Music [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Chibunye kaisha wazee
G.O.A.T
Hawa watu wajanja sana, wameachia wimbo wao mpya ambao nina uhakika utatrend sana kwenye mitandao hasa huu mpya Tiktok unaoongoza kwa kuwa downloaded hivi sasa.
Wasanii wengine chukue somo hapo, maana mtalalamika mnarogwa/logwa kumbe mchawi wenu ni nyie wenyewe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu wewe kasikilize yule msanii wako anaeimba l go die mara 34 kwa wimbo mmoja.
Sent using motorola