muziki ni biashara na biashara inahitaji akili kubwA,hpo ndipo utakapo kubali kua diamond na team yake ni visionary.....hao jamaa wajiongeze tu so as to give a beat down WCB otherwise wataishia kulalamika tu.Nimeliona hili na nikaona si mbaya kushea na wanajamii!!
Tanzania tumebarikiwa vipawa vya wanabongofleva vya kutosha na maridhawa kabisa!!
Tumekuwa na wanamuziki wazuri hasa na kwa uchache nimewataja hapo juu kwenye head!!
Kiufupi naona soko la muziki hapa kwetu Tanzania linaelekea kushikwa na wachache na kuwaacha WAKALI wengine wakipiga miayo au kuishi maisha ya chini tofauti na vipaji vyao!!
Diamond pekee tayari ana show nyingi mno hapa nchini na kimataifa hali ambayo si nzuri kwa wanabongofleva wengine!!
Kuna wasanii hawapigi show mpaka kusubiri vitu kama FIESTA wakati wachache kila wiki ni wao tu majukwaani!!
Ujio wa HARMONIZE na huyu RAYMOND unakuja kuongeza njaa kwa wanamuziki wetu wazuri kabisa kama Chegge, Matonya, Q chillah na weengi siwataji!!
Naona show nyingi sasa zitaelekezwa WCB kwa kuwa kila promota anataka pale!!
Media, mitandao ya kijamii na karibia promo zote mjini zinazungumzia WCB kwa ziada!!
Niwaombe wananchi wenzangu tuwathamini na hawa kina Mirror, Matonya, Belle 9 na weengi wanaojua kuimba!!
Nawakubali sana WCB lakini ni lazma tuwajali wote wanaojua hii kazi ili nawao wafeel kipato cha jasho liwatokalo.
Ni hayo tu!!
Kwanini mkuu...?Benpol hatakaa afanikiwe nilikuwa namkubali sana ila juzi kati ndio nimejua kwa nini wadau wanampotezea.
Hapana mkuu, Queen dareen atabaki kuwa mshirika tu wa WCB na sio kusign kwenye lebo kabisa .. Yupo msanii mwingine wa kike tofauti kabisa
Moyo mashine
Heshima kwako been Paul tunaojua mziki diamond atasubili sana kwako kijana keep it up unajua
Na kama ipo ipo tu time will tell
Mtu kama Rama D affiliation yake na wale vinega imemcost big time. Media kama cloudz imechangia kuua ndoto za wasanii wengi.Unajua mkuu hapa ishu sio kujua!!
Woote tunakubaliana kwamba kuna wanaojua hasa huu mziki kuliko watoto wa WCB!!
Kujua pekee haijawa msaada kwa hawa wanamuziki wetu tuwapendao!!
Tunataka wote tujadili na ikiwezekena tuje na majawabu ni kwa nini mafundi wa hizi kazi kama RAMA D muziki hauwalipi ipasavyo!!?
Tukipata majawabu basi tuwasaidie au tusaidie kugeuza hili game linakoelekea!!
Tusaidie game limlipe kila anayeweza kazi!!
Tukisema tu kuwa time will tell tutakosea kwa sababu jua halisimami! au Dunia haisimami, au muda HAUSIMAMI!!
Mtu kama Rama D affiliation yake na wale vinega imemcost big time. Media kama cloudz imechangia kuua ndoto za wasanii wengi.
Lingine nafikiri ni lack of creativity na poor management.
TOA HINT NI KWANINI TAFADHALIBenpol hatakaa afanikiwe nilikuwa namkubali sana ila juzi kati ndio nimejua kwa nini wadau wanampotezea.
MH NAHISIVITU VINGI VINGINEE......Tatizo ni marketing
Unajua kilichopo nyuma ya pazia katika "Penzi feki" la Wolper na Harmonies..?
Masogange kawa star kuliko yy anapiga collabo na kina davido lakn bele kabaki mchangani wakati alikuwa video queen wakeBelle 9 toka ameanza game hajawahi kuwa na skendo ya demu, unategemea nini kwa hii game ya bongo?
Kafanya nn Ben pol mkuu[emoji86] [emoji86]Benpol hatakaa afanikiwe nilikuwa namkubali sana ila juzi kati ndio nimejua kwa nini wadau wanampotezea.