WCB Waendelea kuchuniwa. Safari hii na mwanamuziki wa nje, Jason Derulo

Domo era ndio zinaishia hizo anakuja mwengine.. ila ni mambo ya kawaida kwa super star ukifuatilia biography za kina Tyson, Michel Jackson, Madonna, n.k huwaga wanapanda hadi wanafikia climax baadae wanashuka kwa kasi hadi wengine kufulia kabisa kama ilivyotokea kwa Mc Hammer
 
Mark my words "Diamond platnumz ndio msaanii wa kwanza Afrika Mashariki anaziangusha Media na kuendelea kusimama mwenyewe Ahsante Chibu endelea kuwakomboa Wasanii wenzio kifikira na kuufanya Muziki biashara kama nchi zingine zilivyoendelea katika Tasnia hii" Sio ubishi Diamond platnumz game change na asipobadilisha yeye hii Industry ya Muziki itachukua muda sana kubadilika. Bongo tatizo Roho mbaya mfano Makulusa ya Rayvany imepigwa BBC Extra1, Soundcity, Naija trace,Jana imepostiwa kwenye page kubwa huko USA ambayo Instagram ina followers 12M, Trace Muziki na OnherdUk ila bongo majungu WCB Wasafi go hata mashujaa wa siasa au Mabadiliko walikuwa hivi sio kwamba walikubalika na wote ila mwisho wa siku walishangiliwa na wote kimoyo moyo na hii wanakumbukwa na wengine kuwepo na siku maalum kwa ajili yao.
 
Mkuu umeongea mambo ya msingi sana,hasa ilo jambo la kupewa promo na clouds hao wenye promo zao ndio hao wanazungushwa fiesta tanzania nzima kwa laki mbili,clouds wanaua vipaji
 
Hii comment nimeielewa 100%... Hongera kwa Haya madini mkuuuu
 
kuna watu wana roho mbaya sana kwenye hii dunia.
kama inavyodhihirishwa na mleta post.chuki tu zimejaa moyoni na kuota fulani ashuke kwenye mafanikio yake.
 
ndo wanafunzwa uanaume sasa,huwaoni kina harmonize rayvany,wanatoboa kimataifa huko
Marumbano ya yanaendelea kati ya media na Wcb..kwa Chibu anaona kawaida ila ina wa adhiri zaidi wasanii waliomo ndani ya WCB
 
Wanaume Wa Dar nishida. Mwanaume yakwako yamekushinda kutwa nzima kusema mwanaume Mwenzako tu.

Acha Simba atembeze mkia wewe kama unatamani sogea Madale
 
Na akae akijua [HASHTAG]#Marry[/HASHTAG] you ya diamond ilitrend namba 07 Nchini kwa trump.
Nitaleta ushahidi mtandao unazingua.
 
mbona mambo yao safi ao ndo u wish awe maskin kama wew nahela ya kuingia JF aibe
 
Nyoko zako
 
Ila nahisi Claudz wanaongoza kudidimiza uchumi wa wasanii wt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…