WCB Waendelea kuchuniwa. Safari hii na mwanamuziki wa nje, Jason Derulo

WCB Waendelea kuchuniwa. Safari hii na mwanamuziki wa nje, Jason Derulo

Domo era ndio zinaishia hizo anakuja mwengine.. ila ni mambo ya kawaida kwa super star ukifuatilia biography za kina Tyson, Michel Jackson, Madonna, n.k huwaga wanapanda hadi wanafikia climax baadae wanashuka kwa kasi hadi wengine kufulia kabisa kama ilivyotokea kwa Mc Hammer
 
Mark my words "Diamond platnumz ndio msaanii wa kwanza Afrika Mashariki anaziangusha Media na kuendelea kusimama mwenyewe Ahsante Chibu endelea kuwakomboa Wasanii wenzio kifikira na kuufanya Muziki biashara kama nchi zingine zilivyoendelea katika Tasnia hii" Sio ubishi Diamond platnumz game change na asipobadilisha yeye hii Industry ya Muziki itachukua muda sana kubadilika. Bongo tatizo Roho mbaya mfano Makulusa ya Rayvany imepigwa BBC Extra1, Soundcity, Naija trace,Jana imepostiwa kwenye page kubwa huko USA ambayo Instagram ina followers 12M, Trace Muziki na OnherdUk ila bongo majungu WCB Wasafi go hata mashujaa wa siasa au Mabadiliko walikuwa hivi sio kwamba walikubalika na wote ila mwisho wa siku walishangiliwa na wote kimoyo moyo na hii wanakumbukwa na wengine kuwepo na siku maalum kwa ajili yao.
 
Da mange kasema mnamatatizo,mara mtoto sio wake ,nyumba sio yake,karanga sio zake,perfurme sio zake,lkn nikikuambia unipe ushahidi kuhusu unachokiongea hapo hauna,ila reference yako ni Da mange.
Wizkid kafanya collabo na Tyga show your money,tyga hajapost Je wizkid anadharau ? Wenzetu hamna ushikaji ni biashara,hata huyo diamond kupostiwa na Rickross ule ulikuwa mkataba wa kupost kwa mda fulani baada ya hapo wanafuta na hata hizo posti za Belarie nazo zitafutwa baadaya ya mkataba wake kuisha,kwa huyo ni kawaida au hujawahi kuangalia list ya mastaa wanaolipwa kwa kupost insta ,kama sikusoei watu wanaolipwa ela ndefu kwa kupost instagram ni Beyonce na Cristian Ronado ,wenzetu kila kitu ni biashara hamna ushikaji na USHIKAJI NDIO unawaumiza wasanii wa bongo fleva,unapiga tamasha bure kisa ushikaji na Diamond anaonekana ana dharau,kwa sababu anajitambua na hapendi ushikaji yeye ni mfanya biashara wa muziki na ukichunguza maneno yote haya kwasababu watu maslai yao yamebanwa. Kuhusu mahusiano yake na Zari nadhani mimi na ww haya tuhusu na huwa sipendi kuingilia mapenzi ya watu leo na kesho watarudiana alafu ukawa huna cha kuongea.Najua unawaona Clouds kama miungu watu lkn hawa ndio wanongoza kuwatengeneza WASANII MASIKINI WENYE MAJINA MAKUBWA ,sababu ya ushikaji .Hebu niambie ww MSANII GANI AMBAYE ALIYESIMAMIWA NA KUPEWA PROMO NA CLOUDS ,ambaye finacial yupo stable? kwa kifupi hayupo refer Barnaba (multi-talented anatunga ,anatunia wenzake ,anavocal na anapiga gita),hivi leo Barnaba ana nini pamoja na promo na misifa anazopewa na Clouds,wasananii wangapi wame walalamikia Clouds ni wanyonjaji ? hatukatai kumsaidia mtu lakini usimnyonye basi kwani hata mbele za mungu haina maana,hata huyo lil wyane ,Birdman ndiye aliyemsaidia lkn ,leo hii Lili wyne baada ya kujua anaibiwa kasitisha kujtoa album mpaka alipwe dola milion 56.Alafu kesho yake Clouds hawa hawa kupitia SHILAWADU wanakuponda huna WAZIFA .Mimi naona Diamond anaonekana ana dharau sababu moja ANAJITAMBUA na pili ni MFANYABIASHARA,ndio hapo anaonekana anadharau kwasababu washikadau wengi wanapenda mambo yaende KISHIKAJI.Nakusu kushuka Diamond kushuka atashuka zamu yake ikifika(na hamna msanii atayekuwa namba moja milele hata upewe promo kila sekunde utashuka tu ),ila si kwa sasa ,kwani ww si wa kwanza humu JF kumtabiria dogo kushuka,tokea 2013 humu jamii forum kuna uzi kama mia zinazofana na huu wako ,lkn Dogo kila siku anawaprove watu yupo sahihi.Alafu dunia ya sasa hivi vitu vingi watu wanashare,Facebook mark anamiliki 28% ,hizo 72% ana miliki nani ,lkn leo hii facebook inafahamika kama ya mark.Tidal tunasema ya Jay Z,lkn ukisoma kuna wasanii zaidi ya kumi wana share pale tidal (Kanye west ,J cole,Drake,Nick minaj,Lil wyne nk ) au Jezi zile wanazovaa MAN UTD ni za addidas au za MAN au zile anazovaa Arsenal PUMA ni za puma au aresnal au bidhaa za Jordan ni za NIKE au za Michael Jrdani,ukiweza kujibu hili ndio utaelewa Diamond karanga ,Chibu perfume ni ya nani.Ila ktk maisha hamna kitu kizuri kama KUJITAMBUA na KUJIAMINI na kujua UNATAKA NINI.
Mkuu umeongea mambo ya msingi sana,hasa ilo jambo la kupewa promo na clouds hao wenye promo zao ndio hao wanazungushwa fiesta tanzania nzima kwa laki mbili,clouds wanaua vipaji
 
Mark my words "Diamond platnumz ndio msaanii wa kwanza Afrika Mashariki anaziangusha Media na kuendelea kusimama mwenyewe Ahsante Chibu endelea kuwakomboa Wasanii wenzio kifikira na kuufanya Muziki biashara kama nchi zingine zilivyoendelea katika Tasnia hii" Sio ubishi Diamond platnumz game change na asipobadilisha yeye hii Industry ya Muziki itachukua muda sana kubadilika. Bongo tatizo Roho mbaya mfano Makulusa ya Rayvany imepigwa BBC Extra1, Soundcity, Naija trace,Jana imepostiwa kwenye page kubwa huko USA ambayo Instagram ina followers 12M, Trace Muziki na OnherdUk ila bongo majungu WCB Wasafi go hata mashujaa wa siasa au Mabadiliko walikuwa hivi sio kwamba walikubalika na wote ila mwisho wa siku walishangiliwa na wote kimoyo moyo na hii wanakumbukwa na wengine kuwepo na siku maalum kwa ajili yao.
Hii comment nimeielewa 100%... Hongera kwa Haya madini mkuuuu
 
kuna watu wana roho mbaya sana kwenye hii dunia.
kama inavyodhihirishwa na mleta post.chuki tu zimejaa moyoni na kuota fulani ashuke kwenye mafanikio yake.
 
ndo wanafunzwa uanaume sasa,huwaoni kina harmonize rayvany,wanatoboa kimataifa huko
Marumbano ya yanaendelea kati ya media na Wcb..kwa Chibu anaona kawaida ila ina wa adhiri zaidi wasanii waliomo ndani ya WCB
 
Wanaume Wa Dar nishida. Mwanaume yakwako yamekushinda kutwa nzima kusema mwanaume Mwenzako tu.

Acha Simba atembeze mkia wewe kama unatamani sogea Madale
 
Na akae akijua [HASHTAG]#Marry[/HASHTAG] you ya diamond ilitrend namba 07 Nchini kwa trump.
Nitaleta ushahidi mtandao unazingua.
 
Kama kawaida jini mkatakamba gundu bado linaendelea kuwanyemelea lebo ya WCB ambao wameuanza mwaka huu vibaya kwa kugombana na Clouds media kitendo kilichosababisha nyimbo zao kusikiliza na michepuko yao tu huko Madale Guest house.

Kabla pia hawajaumbuliwa kuhusu biashara ya karanga ,perfume nk kuwa Gwa Domo ni balozi tu na si vyake.

Kabla hajapoa katika aibu hizo , akapokea rungu la kichwa kwa kuachwa na mzinzi na mzazi mwenzie Zaribosslady aliyechoshwa na skendo za huyo bwana ,ambaye alikuwa akibeba ukoo wake wote na kuupeleka South kumfanya bibie Zari ashindwe hata kupumua ,na ilifikia hata mama mkwe mama dangote kulazimisha kuvaa nguo za mkwewe, kwa kulazimisha apewe funguo za chumbani kwa Zari ili ajichukulie atakacho (ikiwamo kumwaga ulozi wake)·

Tuachana na hayo, juzi juzi Rayvany na Diamond walipost katika instagram zao wimbo wa Tip toe remix ulioimbwa na mmarekani Jason D ft Reyvavy cha ajabu mwenye wimbo hajapost hata kuuongelea wimbo huo ,lakini wcb kutwa wanaupost ,hapa kuna kitu Domo inabidi ajitathmini ,maana majuzi tu mwanamziki mwingine mmarekani Rick Rose aliamua kumchinjia baharini na kufuta post zake instagram.

Diamond unatakiwa kutubu, angalia unatumia muda mwingi kumpromote huyo Mboso lakini wananchi wamemkataa yeye na wasafi yako. Punguza ujuaji na hao mameneja wako kama vifurushi vya pamba maana unawaponza wasanii wako wasisikike redioni na tvs
Nyoko zako
 
Back
Top Bottom