WCB Waendelea kuchuniwa. Safari hii na mwanamuziki wa nje, Jason Derulo

Yaani nimecheka ulivoandika mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] WCB wakuchukue kama TV presenter kwenye kipindi cha udaku
 
Tip toe aliimba na french montana na push aliimba na rayvany
 
Sidhani hata kama una punje ya mafanikio ya chibu haters acheni kubeba mizigo ya watu....mnavuta sana chini kwa nguvu ila hatarudi...ndio kwanza mambo ni motooo... Nashangaa ohhhh ni balozi wewe hata ubalozi una hadhi ya kuupata na ukaingiza pesa?jibu ni no.....fala wewe fata mambo yako
 

Povu
 
Technically speaking,hio nyimbo ni cover tu hivyo Justin utakuta hata hajui kama kuna mtz kafanya cover ya wimbo wake....as matter of fact kuna watu kibao waliofanya cover ya tip toe

Angalau umeeleweka
 
mkuu umemaliza kila kitu, huyu mpumbavu asipoelewa ana lake jambo na diamond pamoja na mafanikio yake kiujumla.

Mafanikio yake au mafanikio ya wenzie? Diamond hana anachomiliki zaidi ya suruari ilitokatika zipu
 


Hongera Lukamba official umejitahidi kutema pumba zako
 
Mwandishi punguza kura karanga afu usi zime taa wakati wa kulala naona una tatzo la kuloweshwa nyuma na watu wasio julikana[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…