Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ingependeza mia900 km ungeiandika kwa herufi kubwa "GWA DOMO"Gwa domo
We mbona upo hapa? Au ndo zamu yako kushika mtoto
Hahaha hatar mkuu.Nilikusahau nilijua new comer nilitaka nimtongoze
Educated wapo wanabishana twitter huko sio huku jukwaa la umbea
mkuu umemaliza kila kitu, huyu mpumbavu asipoelewa ana lake jambo na diamond pamoja na mafanikio yake kiujumla.Da mange kasema mnamatatizo,mara mtoto sio wake ,nyumba sio yake,karanga sio zake,perfurme sio zake,lkn nikikuambia unipe ushahidi kuhusu unachokiongea hapo hauna,ila reference yako ni Da mange.
Wizkid kafanya collabo na Tyga show your money,tyga hajapost Je wizkid anadharau ? Wenzetu hamna ushikaji ni biashara,hata huyo diamond kupostiwa na Rickross ule ulikuwa mkataba wa kupost kwa mda fulani baada ya hapo wanafuta na hata hizo posti za Belarie nazo zitafutwa baadaya ya mkataba wake kuisha,kwa huyo ni kawaida au hujawahi kuangalia list ya mastaa wanaolipwa kwa kupost insta ,kama sikusoei watu wanaolipwa ela ndefu kwa kupost instagram ni Beyonce na Cristian Ronado ,wenzetu kila kitu ni biashara hamna ushikaji na USHIKAJI NDIO unawaumiza wasanii wa bongo fleva,unapiga tamasha bure kisa ushikaji na Diamond anaonekana ana dharau,kwa sababu anajitambua na hapendi ushikaji yeye ni mfanya biashara wa muziki na ukichunguza maneno yote haya kwasababu watu maslai yao yamebanwa. Kuhusu mahusiano yake na Zari nadhani mimi na ww haya tuhusu na huwa sipendi kuingilia mapenzi ya watu leo na kesho watarudiana alafu ukawa huna cha kuongea.Najua unawaona Clouds kama miungu watu lkn hawa ndio wanongoza kuwatengeneza WASANII MASIKINI WENYE MAJINA MAKUBWA ,sababu ya ushikaji .Hebu niambie ww MSANII GANI AMBAYE ALIYESIMAMIWA NA KUPEWA PROMO NA CLOUDS ,ambaye finacial yupo stable? kwa kifupi hayupo refer Barnaba (multi-talented anatunga ,anatunia wenzake ,anavocal na anapiga gita),hivi leo Barnaba ana nini pamoja na promo na misifa anazopewa na Clouds,wasananii wangapi wame walalamikia Clouds ni wanyonjaji ? hatukatai kumsaidia mtu lakini usimnyonye basi kwani hata mbele za mungu haina maana,hata huyo lil wyane ,Birdman ndiye aliyemsaidia lkn ,leo hii Lili wyne baada ya kujua anaibiwa kasitisha kujtoa album mpaka alipwe dola milion 56.Alafu kesho yake Clouds hawa hawa kupitia SHILAWADU wanakuponda huna WAZIFA .Mimi naona Diamond anaonekana ana dharau sababu moja ANAJITAMBUA na pili ni MFANYABIASHARA,ndio hapo anaonekana anadharau kwasababu washikadau wengi wanapenda mambo yaende KISHIKAJI.Nakusu kushuka Diamond kushuka atashuka zamu yake ikifika(na hamna msanii atayekuwa namba moja milele hata upewe promo kila sekunde utashuka tu ),ila si kwa sasa ,kwani ww si wa kwanza humu JF kumtabiria dogo kushuka,tokea 2013 humu jamii forum kuna uzi kama mia zinazofana na huu wako ,lkn Dogo kila siku anawaprove watu yupo sahihi.Alafu dunia ya sasa hivi vitu vingi watu wanashare,Facebook mark anamiliki 28% ,hizo 72% ana miliki nani ,lkn leo hii facebook inafahamika kama ya mark.Tidal tunasema ya Jay Z,lkn ukisoma kuna wasanii zaidi ya kumi wana share pale tidal (Kanye west ,J cole,Drake,Nick minaj,Lil wyne nk ) au Jezi zile wanazovaa MAN UTD ni za addidas au za MAN au zile anazovaa Arsenal PUMA ni za puma au aresnal au bidhaa za Jordan ni za NIKE au za Michael Jrdani,ukiweza kujibu hili ndio utaelewa Diamond karanga ,Chibu perfume ni ya nani.Ila ktk maisha hamna kitu kizuri kama KUJITAMBUA na KUJIAMINI na kujua UNATAKA NINI.
Da mange kasema mnamatatizo,mara mtoto sio wake ,nyumba sio yake,karanga sio zake,perfurme sio zake,lkn nikikuambia unipe ushahidi kuhusu unachokiongea hapo hauna,ila reference yako ni Da mange.

Jamaa kaeleza kinaga ubagaUmetema madini kinoma Mzee
Inasikitisha sana Chief...wanaume wa DAR tunadhalilishwa sana kwa viumbe kama hawa.
Uvivu+Wivu na chuki za kijinga..!Da mange kasema mnamatatizo,mara mtoto sio wake ,nyumba sio yake,karanga sio zake,perfurme sio zake,lkn nikikuambia unipe ushahidi kuhusu unachokiongea hapo hauna,ila reference yako ni Da mange.