Hahaaa alternative ways hazikosi yaani nitoe jero kisa one music. No no i can't do dat f^<k[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wasiziweke na youtube, na wakiziweka wafungia na total video converter
tayari ni infringment hiyo, kaingilia jina la mwenzake kutengeneza lake.Sasa Harmonise na Harmo Rapper ni kitu kimoja?!
Wasafi classic brandKwanza wabadilishe Hilo jina, WCB inasound poa ILA kirefu chake Sasa Majanga! Huwezi kua international kwa kujiita eti baby... Waangalie hiyo B waipe jina gani ILA lenye B hiyo hiyo.
Hata sijui unasema nini.tayari ni infringment hiyo, kaingilia jina la mwenzake kutengeneza lake.
Bhakresah tayari ana brand name uhai, sasa wewe huwezi pewa brand name ya uhai masafi.
cola ni kichanganyio hapo, wote wanakitumia.Hata sijui unasema nini.
Ila kwa kukusaidia tu kuna Coca cola kuna Pepsi Cola na kuna Azam Cola unataka kusema hizi zilipelekana mahakamani kwa kuigana majina ya mwanzo?
Sasa mbona unashangaa jina la Harmonize na Harmo Rapa Kuwa na mfanano?!cola ni kichanganyio hapo, wote wanakitumia.
as long as hatotumia jina la Ross kwa manufaa binafsi hakuna kitachotokea.Sasa mbona unashangaa jina la Harmonize na Harmo Rapa Kuwa na mfanano?!
Unamjua Ricky Rick wa south Africa?!
Unadhani siku ambayo Rick Ross akimjua atamaindi kwa jamaa kufanana nae majina?!
So Rick Ricky kujiita jina lilofanana na Rick Ross ni sawa ila Harmo Rapa kujiita jina linalotaka kufanana na Harmonise ndio sio sawa au sio?!as long as hatotumia jina la Ross kwa manufaa binafsi hakuna kitachotokea.
Waite wasafi classic music WCM hii itasound vizuri hiyo ya baby inachefua