WCB waja na website yao itakayouza kazi zao.

WCB waja na website yao itakayouza kazi zao.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wasiziweke na youtube, na wakiziweka wafungia na total video converter
Hahaaa alternative ways hazikosi yaani nitoe jero kisa one music. No no i can't do dat f^<k
 
Kwanza wabadilishe Hilo jina, WCB inasound poa ILA kirefu chake Sasa Majanga! Huwezi kua international kwa kujiita eti baby... Waangalie hiyo B waipe jina gani ILA lenye B hiyo hiyo.
Wasafi classic brand
 
tayari ni infringment hiyo, kaingilia jina la mwenzake kutengeneza lake.
Bhakresah tayari ana brand name uhai, sasa wewe huwezi pewa brand name ya uhai masafi.
Hata sijui unasema nini.

Ila kwa kukusaidia tu kuna Coca cola kuna Pepsi Cola na kuna Azam Cola unataka kusema hizi zilipelekana mahakamani kwa kuigana majina ya mwanzo?
 
Hata sijui unasema nini.

Ila kwa kukusaidia tu kuna Coca cola kuna Pepsi Cola na kuna Azam Cola unataka kusema hizi zilipelekana mahakamani kwa kuigana majina ya mwanzo?
cola ni kichanganyio hapo, wote wanakitumia.
 
cola ni kichanganyio hapo, wote wanakitumia.
Sasa mbona unashangaa jina la Harmonize na Harmo Rapa Kuwa na mfanano?!

Unamjua Ricky Rick wa south Africa?!
Unadhani siku ambayo Rick Ross akimjua atamaindi kwa jamaa kufanana nae majina?!
 
Sasa mbona unashangaa jina la Harmonize na Harmo Rapa Kuwa na mfanano?!

Unamjua Ricky Rick wa south Africa?!
Unadhani siku ambayo Rick Ross akimjua atamaindi kwa jamaa kufanana nae majina?!
as long as hatotumia jina la Ross kwa manufaa binafsi hakuna kitachotokea.
 
as long as hatotumia jina la Ross kwa manufaa binafsi hakuna kitachotokea.
So Rick Ricky kujiita jina lilofanana na Rick Ross ni sawa ila Harmo Rapa kujiita jina linalotaka kufanana na Harmonise ndio sio sawa au sio?!
 
Namuona simba anataka kumeza mtu. Diamond mbona povu sana??? (Kuna mtu anatetea kwa nguvu zote tusirushiane Whatsap)
 
Back
Top Bottom