Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ni mawazo ya kimaskini na kutokuwatakia mema wengine.Hizi web za .com zi haziruhusiwi kibongo bongo..? Au ule ulikua ni unafiki wa kuiminja jf peke ake.
Btw wamekuja na wazo zuri, atanunua mmoja alaf ataturushia whatsapp[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unapopotosha watu faida yako ni ipi?Nimewatembelea naona website haipo
We mjinga kweli yani inaonekana hata hujawahi kusoma hata notes za kuazima za IT sasa unachobisha ni nini??!! ... Kwani nilichoweka na ulichoweka haiwezekani kutokea..
Hasira za nini sasa?We mjinga kweli yani inaonekana hata hujawahi kusoma hata notes za kuazima za IT sasa unachobisha ni nini??!! ... Kwani nilichoweka na ulichoweka haiwezekani kutokea..
Povu la nini sasa!? Wewe hapo juu kwenye thread wameeleza kabisa inaitwa wasafi.com halafu wewe unapotosha kwa makusudi. Siyo vizuri ndugu. Issue ya kuhusu IT ungeweka hapa references nione unachoongelea zaidi ya hapo nitakuona mchawi kiaina.We mjinga kweli yani inaonekana hata hujawahi kusoma hata notes za kuazima za IT sasa unachobisha ni nini??!! ... Kwani nilichoweka na ulichoweka haiwezekani kutokea..
Wewe mwenye mawazo ya kitajir kanunuage tu hamna shida..Hayo ni mawazo ya kimaskini na kutokuwatakia mema wengine.
Wewe mwenye mawazo ya kitajir kanunuage tu hamna shida..
Btw ungenza kulipia hata hapa jf uwe hata bronze member
Acha mboyoyo wewe..Dogo naona umekomaa sana na hii issue. Mimi mpenzi wa music na ninajua shida zinazopatikana kwenye music. Kwa jinsi ulivyo poyoyo hujui kwamba uwepo wetu hapa JF ndio maana wanapata matangazo!!? Wewe ni finyu sana wa kimawazo. Biashara za social media zipo pande tatu. Labda nikupe somo kidogo maana naona wewe ni kijana wa juzi juzi tu.
1. Unakuwa na members wengi unapata pesa toka kwenye matangazo. Kwa hiyo member wanaingia free.
2. Unakuwa na kitu cha kipekee watu wanalipia unapata taarifa.
3. Unauza taarifa kwenye vyombo vya ulinzi.
Wewe ulivyo mweupe pee kichwani unadhani biashara ya music ni sawa na ya social media.
Hivi wewe mwehu!!. Wewe ni kichaa? Kina kuuma nini wao kuwa na website? Kinakuuma nini mimi kwenda kununua!? Wewe mwehu nini? Unanipangia matumizi ya pesa yangu!!? Huu wehu wako peleka kule sio kwangu. Stupid kid. { msonyo}Acha mboyoyo wewe..
Nenda kanunue kwani umezuiwa, mkiwa hapa jf propaganda kibaoo kumbe hata jero hamchangii
Acha mbwembwe! si ukanunue, kwan nimekupangia matumiz? Mkiwa hapa mbembwe kibaooooo kumbe unasubir vya bluetooth na whatsappHivi wewe mwehu!!. Wewe ni kichaa? Kina kuuma nini wao kuwa na website? Kinakuuma nini mimi kwenda kununua!? Wewe mwehu nini? Unanipangia matumizi ya pesa yangu!!? Huu wehu wako peleka kule sio kwangu. Stupid kid. { msonyo}
Wasafi classic BandKwanza wabadilishe Hilo jina, WCB inasound poa ILA kirefu chake Sasa Majanga! Huwezi kua international kwa kujiita eti baby... Waangalie hiyo B waipe jina gani ILA lenye B hiyo hiyo.
Kwa hiyo profile nimekupenda buleWasafi classic Band
Alafu ikawaje?!Alipewa bilioni mbili kushawishiwa ajiunge na universal
WCM wataharibu kabisa coz WCB ni jina/charter kubwa tayari kwa hiyo kulibadilisha tena ni kutokufikiria vyema,ibaki ivo ivo tu ilivo hiyo B wanaweza kumodify ata kwa kuiterm kama Brand or otherwise like Wasafi Classic Brand(WCB)...hii ikiwa wataamua kuachana na hiyo Baby kama matakwa yao yatavowapeleka maana hatuna uwezo wa kuwapangia waiteje business name yao, sie tunajaribu kushauri tu.Waite wasafi classic music WCM hii itasound vizuri hiyo ya baby inachefua
Sasa Harmonise na Harmo Rapper ni kitu kimoja?!naona wanasajiri na brandname/trademark yao. ni move nzuri kwa wasanii wa ndani, wengi wana majina ila hayana hati miliki, kwamba hata leo mtu harmo rapa katoka kwa jina la harmonize, harmonize angekuwa na hati miliki ya jina lake la kisanii angeshamfungulia mashtaka harmorapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wasiziweke na youtube, na wakiziweka wafungia na total video converterNitanunua huko kama dj mwanga na Bekaboy zitafungwa. 500 Tsh per song!!! WTF