Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Lavalava ni hatari sana yule dogo..rudia tena kumsikiliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima watatomboa tuu😀😀Hawa jamaa wametoka kwenye kipindi kidumu (Beef zinazo endelea), so watakuja kuwa wasani wazuri waki survive kwenye hili sakata (Kubaniwa) then wakitoboa watakuwa wamejifuza mengi. Ongopa sana yule mtu anaanza kupambana anakutana na changamoto nyingi kwani zina mjenga sana akija kutomboa uto amini
Yep YepLazima watatomboa tuu😀😀
Najionea haya mwenyeweUsajili bora kama wangemchukua bekaflavour
Mwamba umetisha mkuu,😂😂Najionea haya mwenyewe
Hatari teknolojia kitu Cha kuogopa Sana kinaumbua🤣🤣🤣Mwamba umetisha mkuu,😂😂
Kweli kabisa utabiri unaweza kwenda kinyume na matarajio, ni vyema kuepuka kujihakikishia ili kuepuka fedhea ndogo ndogo kama hizi hasa pale matarajio yanaposhindwa kufikiwa kutokana na sababu mbalimbali zinazoweza kujitokeza.Hatari teknolojia kitu Cha kuogopa Sana kinaumbua🤣🤣🤣
Mahadhi ya kitanzania 100%? Sio kwamba hawa wana sample beat za kihind,uimbaji,mavazi?WCB HAWACHUKUI MTU KWA AJILI TU YA KUWA NA WATU WENGI.WCB WALIMISS AINA YA MUZIKI WANAOUFANYA MBOSSO NA LAVALAVA.NADHANI NI MZIKI FULANI AMBAO UMEKAA KATIKA MAHADHI YA KITANZANIA 100%.
Kuhusu Aslay yuko poa ila ANAIMBA STYLE moja na huko alipoamua kujiweka mwisho siku watamtumia na kumtupa.
Mahadhi ya kitanzania 100%? Sio kwamba hawa wana sample beat za kihind,uimbaji,mavazi?