WCB wamebet vibaya kwa Lavalava na Maromboso

Lavalava ni hatari sana yule dogo..rudia tena kumsikiliza
 
Lazima watatomboa tuu😀😀
 
Usajili bora kama wangemchukua bekaflavour
 
Hatari teknolojia kitu Cha kuogopa Sana kinaumbua🤣🤣🤣
Kweli kabisa utabiri unaweza kwenda kinyume na matarajio, ni vyema kuepuka kujihakikishia ili kuepuka fedhea ndogo ndogo kama hizi hasa pale matarajio yanaposhindwa kufikiwa kutokana na sababu mbalimbali zinazoweza kujitokeza.
 
Mahadhi ya kitanzania 100%? Sio kwamba hawa wana sample beat za kihind,uimbaji,mavazi?
 
Mahadhi ya kitanzania 100%? Sio kwamba hawa wana sample beat za kihind,uimbaji,mavazi?

Kwani si kuna watanzania wahindi? Wengine wanaimba singeli ya wazaramo, Maromboso yeye anaimba mahadhi ya mitaa ya Kisutu na Zanaki. Yote Tanzania hiyohiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…