WCB wapewe heshima kwa kuandaa albums za viwango: A boy from Tandale, sound from Africa na sasa definition of love

WCB wapewe heshima kwa kuandaa albums za viwango: A boy from Tandale, sound from Africa na sasa definition of love

YBNL na Mavins zote zinazidiwa dabliyusibiii au sio?
Whatever the case WCB ipo kwenye top five ya label kubwa na Kali around African Continent ......mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni ...... Wengine wanajivunia kuwashabikia wasanii wa ulaya alaf wanajiita wajanja kumbe washamba tuuu
 
Mziki ni preference sio lazima tushabikie WCB..........
 
Habarini Wana Jamvi

Inatakiwa ifike sehemu watanzania na Wana JamiiForums celebrity waipe heshima kubwa sana WCB kwa kuendelea kutoa ALBUMS Kali na zenye viwango vya juu sana.

WCB ikiwa kama label namba moja AFRICA na isiyokuwa na mpinzani kwa sasa maana wanigeria wameshainyoshea mikono inatakiwa ipewe heshima maana hawaandai maremix Kama wasanii wengine ila wanatoa kile kilicho Bora zaidi na ukweli unajionesha wazi.

1.Diamond Platinums( A boy from Tandale-Album).

2.Rayvany(Sound from Africa-Album).

3.Mbosso(Definition of Love-Album).

Ko sitafurahishwa na wadau wa Muziki kudai kuwa Kuna Albums-remix yoyote inayozishinda ALBUMS za WCB kwa ujumla.

WCB ndo kiwanda Cha mziki na wanajua jinsi ya KUANDAA ALBUMS na kwa mda gani.

Ko mpaka Sasa ALBUM BORA KWA TANZANIA KWA MIAKA 10(2011_2021) WCB wametisha sana.

Wasanii Kama alikiba,harmonize,abbah process,darassa na wengine wengi bado wanasafari ndefu sana ya kujifunza kutoka WCB namba ya KUANDAA ALBUMS ZAO.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ep ya lavalava vp kwa upande wa ep version
 
Tushajua mnalipwa kwa kuposti utopolo namna hii, mwenzako kapewa kigari juzi.
 
Nikichokiona kwenye hii albamu ni Ile nyimbo ya sijui chini ya kunduchi yani nyimbo matusi sijui ndio mtindo wa siku hizi au
 
niko naisikiliza ya Mbosso ni kali, kama kuna song Baikoko ft Diamond, Karibu ft Diamond, kadada ft Darasa etc. WCB is the best in East Africa
 
Whatever the case WCB ipo kwenye top five ya label kubwa na Kali around African Continent ......mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni ...... Wengine wanajivunia kuwashabikia wasanii wa ulaya alaf wanajiita wajanja kumbe washamba tuuu
Fact kaka washamba sana hao
 
Back
Top Bottom