Whatever the case WCB ipo kwenye top five ya label kubwa na Kali around African Continent ......mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni ...... Wengine wanajivunia kuwashabikia wasanii wa ulaya alaf wanajiita wajanja kumbe washamba tuuuYBNL na Mavins zote zinazidiwa dabliyusibiii au sio?
Unaota wee eti? Hivi mkipewaga bundles ni lazima muimbe mapambio ya kuisifu WCB?Kalale baby
Sasa huyo azijue wapi hizi? Ndo kwanza anaona wee ulivo comment hapa. LolYBNL na Mavins zote zinazidiwa dabliyusibiii au sio?
Mziki ni preference sio lazima tushabikie WCB..........Whatever the case WCB ipo kwenye top five ya label kubwa na Kali around African Continent ......mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni ...... Wengine wanajivunia kuwashabikia wasanii wa ulaya alaf wanajiita wajanja kumbe washamba tuuu
Ep ya lavalava vp kwa upande wa ep versionHabarini Wana Jamvi
Inatakiwa ifike sehemu watanzania na Wana JamiiForums celebrity waipe heshima kubwa sana WCB kwa kuendelea kutoa ALBUMS Kali na zenye viwango vya juu sana.
WCB ikiwa kama label namba moja AFRICA na isiyokuwa na mpinzani kwa sasa maana wanigeria wameshainyoshea mikono inatakiwa ipewe heshima maana hawaandai maremix Kama wasanii wengine ila wanatoa kile kilicho Bora zaidi na ukweli unajionesha wazi.
1.Diamond Platinums( A boy from Tandale-Album).
2.Rayvany(Sound from Africa-Album).
3.Mbosso(Definition of Love-Album).
Ko sitafurahishwa na wadau wa Muziki kudai kuwa Kuna Albums-remix yoyote inayozishinda ALBUMS za WCB kwa ujumla.
WCB ndo kiwanda Cha mziki na wanajua jinsi ya KUANDAA ALBUMS na kwa mda gani.
Ko mpaka Sasa ALBUM BORA KWA TANZANIA KWA MIAKA 10(2011_2021) WCB wametisha sana.
Wasanii Kama alikiba,harmonize,abbah process,darassa na wengine wengi bado wanasafari ndefu sana ya kujifunza kutoka WCB namba ya KUANDAA ALBUMS ZAO.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usikute ni yeye huyu mwenyewe aliepewa gari.Tushajua mnalipwa kwa kuposti utopolo namna hii, mwenzako kapewa kigari juzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usikute ni yeye huyu mwenyewe aliepewa gari.
Si zinajulikana zote [emoji3]ndo yale yale tu anichua ngiri kwa limao,wali kwa biriani,mafuta ya karafuu,juisi sharubati bagia za zenzibar
Naunga mkono hojaAlbam ya darasa ni bora zaidi kuliko hizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wanachachawa hadi kero lol.Ndo maana wanapambana kweli kweli.
Sijawahi kukuona ukipinga kitu chochote kutoka WCB, kwahiyo sihangaiki Nawew.Sema kwako kwasababu ulishazoea Mambo ya tango ,Mara mkonga[emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kukaza fuvuTakataka kabisa
Nimeshangaa alivyosema hakuna remix number one remix na sample ya nyimbo za zaman kibao
Yeah taja wasanii wake watatu ambao wako hot kijanaYBNL na Mavins zote zinazidiwa dabliyusibiii au sio?
Endelea kukaza fuvuAtazijulia wapi? Anaijua wcb tu huko kwao kigoma
Fact kaka washamba sana haoWhatever the case WCB ipo kwenye top five ya label kubwa na Kali around African Continent ......mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni ...... Wengine wanajivunia kuwashabikia wasanii wa ulaya alaf wanajiita wajanja kumbe washamba tuuu
Usijali ila hapa ndo huwaga unanichoshaga sana why unaichukia chama kubwa WCB...?Unaota wee eti? Hivi mkipewaga bundles ni lazima muimbe mapambio ya kuisifu WCB?
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani hizo label za Nigeria ndo nishindwe kuzijua baby wangu....?Sasa huyo azijue wapi hizi? Ndo kwanza anaona wee ulivo comment hapa. Lol