WCB wapewe heshima kwa kuandaa albums za viwango: A boy from Tandale, sound from Africa na sasa definition of love

Acha kutukana we zitaje kwa good arrangements tuone Kama WCB itakosa top 3
 
Sound from africa ni takataka, A boy from Tandahimba ni uchafu2 na ndo mana hakuna aliyethubutu kuziachia kwa mtindo wa MMAKONDE wote MDOMO NA RAYNYANI wameachia album VYUMBANI, kwa album zile ukumbini tungewamwagia mikojo album unatuwekea tetema sijui ujinga gan.
 
Sasa linganisha sound from Africa na uo uchafu wa underground wwnu.
1.SOUND FROM AFRICA (total streams 200)
Boomplays 9m,Spotify 30m, Audiomack 10m,youtube 50m bado iTunes, Pandora, Deezer, apple uahama.

2.Uchafu wa afroeast(total streams 50m)
Boomplay 2.3m,Spotify 2.3m, Audiomack 12m,YouTube 47m na Ina miaka 1[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Don't hate be inspired
Yani nini cha ku inspired. Kwa nyimbo zipi za kibongo. Uwandishi na uwandaji wetu bado upo local sana. Kama wwe ni mfatiliaji mzuri wa muziki angalia uwandaji wa wenzetu wazungu.

Download album moja tu ya Ed Sheeran ukae usikize vizuri.

Nyimbo ya Beyonce ft jay z ina producers 8 nyimbo iliongoza kwa kuchukuwa tuzo nyiki kipindi cha 2013.

Rihanna una sikiliza nyimbo zake album zilizo pita mpka unaisi huyu dada katoka kuimba jana studio.

Mond na wasani wetu wengine nyimbo leo kesho ukilala imechuja
 
Brainless post, kaielezee familia yenu huu utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…