WCB Wasafi Nzima Wameng'ara Kwenye Tuzo Za Aeausa-Marekani Pamoja Na Zarithebosslady

Hizi ni kama zawadi za birthday wala si Tuzo za msanii kujivunia ..hao waandaaji inabidi wapimwe mkojo au kinyesi
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Sasa Zari ana ujasiriamali gani jamani?Alikuwa anahojiwa na Sporah kwenye Sporah show akaulizwa anafanya kazi gani akabaki anajikanyaga mara oh mi ni promota mara oh nina duka la nguo...Kama ni Brooklyn College ameanza kuimanage thisyear baada ya kifo cha mmewe...Hapa kwake kuna uwalakini haki ya nani
 
Hizi tuzo nyingine ndiyo naziskia leo sijui za wapi na wanapeana wapi...
Anyway all the best WCB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…