WCB Wasafi Nzima Wameng'ara Kwenye Tuzo Za Aeausa-Marekani Pamoja Na Zarithebosslady

Na kweli anaishi kwa kushow off insta. Kila siku kupiga picha offisini, Ashukuru Mungu Ivan kafa, la sivyo picha za ofisini angezisikia tu.

unakumbuka alikua akipiga mlangoni alafu anarudi kulala... maana baada ya hapo ofisi haikuwahi onekana yule dada muongo sana
 
Ungekuwa unamjua Zari usingekuwa unaongea upupu wote huo.

Tena nina wasiwasi umeanza kumjua zari baada ya kutoka na Diamond.

Zari tu namjua toka anaimba mpaka ITV walikua wako muonyesha miaka hiyo ya 199+ baada ya nini letu kulikua na Kipindi cha mziki [emoji13][emoji13]
 
Tuma na washindan wao ndo itakuw pw

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kweli anaishi kwa kushow off insta. Kila siku kupiga picha offisini, Ashukuru Mungu Ivan kafa, la sivyo picha za ofisini angezisikia tu.
Kabla ya Ivan kufa alikuwa anapigia picha ofisini kwa Dai huku kashika mouse🙄🙄
 
mi team Mondi ila hapa mmmh!!! kuna ka harufu ka kununua nominations hapa. wcb wamenunua nomination haiwezekani. na wakichukua zote najitoa JF.
 
Haya sasa pazia limefunguliwa uwanja upo wazi ni ku vote tuu [HASHTAG]#voteeeee[/HASHTAG] Tanzania+Wcb = the world
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…