Bantu Mhagama
Senior Member
- Feb 15, 2017
- 104
- 127
Anko Magu leo atawapigia cm wenyewe kina sudi brown....anampumzisha baby kabaye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu ni muhimu mkuu, nimepata kusikia kuna kipindi kinaitwa shilawadu na rais wetu anakifuatilia kweli..Mkuu umekusudia kuuliza hili swali au unataka ujibiwe tu?? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Au Mange?Magu John au Magu yupi?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1]Jibu ni muhimu mkuu, nimepata kusikia kuna kipindi kinaitwa shilawadu na rais wetu anakifuatilia kweli..
Sasa mie nilidhani hicho kipindi kinahusu mambo mazito yanayolenga kulikomboa taifa kiuchumi na kijamii sasa ndio nimefungua huu uzi na kukuta kumbe ni watoto wanapigiana simu kuchunguzana kuhusu uzinzi..
Hapo ndipo nilipochoka.. Au hicho anachofuatilia sana mkuu ni kingine?