WCB Wasafi wanaenda kumtambulisha msanii mpya November 2023

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
IMG_20231031_184526.jpg

Linaletwa balaa jipya mjini, naweza sema ile kiu ya kuona wasanii wetu kwenye majukwaa mazito kama kima Rema sasa inaenda kukatwa. Topnotch talent sio mbambamba.

Let's count

God bless WCB
 
Amapiano ziwe chache Kwenye ngoma za mwanzo atakazoachia mkuu c anachia nyimbo Tano nne amapiano .
 
Mkuu hata chai umekunywa kweli? Boss wako mwenyewe kaishia kusema yo yo mikono hewani pale Trace awards, umeangalia hiyo perfomance ya Rema kwenye tuzo za balon d'or?
 
Ikiwa Diamond hadi sasa hajaweza kumfikia huyo “Rema” sasa itawezekana vipi kwa huyo mpya?😂😂😂😂😂
Kwanini Zuchu hajamfikia Rema?
 
Linaletwa balaa jipya mjini, naweza sema ile kiu ya kuona wasanii wetu kwenye majukwaa mazito kama kima Rema sasa inaenda kukatwa. Topnotch talent sio mbambamba.

Let's count

God bless WCB
Hivi mkuu Salam SK bado yuko kwenye management ya WCB? Maana simwoni sana kwenye safari zao wala usemaji?
 
Mkuu hata chai umekunywa kweli? Boss wako mwenyewe kaishia kusema yo yo mikono hewani pale Trace awards, umeangalia hiyo perfomance ya Rema kwenye tuzo za balon d'or?
Rema alifunikwa trace awards na diamond.

Hiyo lip syncing ya kwelye ballon dior ndio imekustua? Hata wewe unaweza ile.
 
Amapiano ziwe chache Kwenye ngoma za mwanzo atakazoachia mkuu c anachia nyimbo Tano nne amapiano .
This time mtashuhudia biashara tofauti kabisa na mazoea. Muziki asili wa kitanzania unapelekwa duniani.
 
Back
Top Bottom