Hivi huyo Queen Darleen naye ni msanii na ana mashabiki kabisa? Mashabiki wake ni watu wa aina gani?
Yaan unavyowasifia hao wasafi,umesahau kuwa kiba alipiga show huko one man army...kwenye ishu ya bongo flava wasanii kibao wanapeperusha bendera ya kimataifa ikiwemo kiba,vannessa,Ay huyu ndo mwanzilishi wa kimataifa Ay ndo kafungua njia hata kwa huyo diamond
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu acha fiksi,uo ndio ukweli mchungu,kwaio ulitaka nitoe Habari za nani?kwasasa wengi wanajua WCB ndio vinara,ulitaka niseme WEUSI au TMK?anafuatilia habari za diamond tu, kafunga mapazia kwa zingine zote